ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
2020 mtawafanya nn Wanasiasa? Si mtapewa khanga na T shirt mtulie?Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali