Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
2020 mtawafanya nn Wanasiasa? Si mtapewa khanga na T shirt mtulie?
 
hahah... hakuna uhujumu uchumi kwani hayo maindi wamepanda wakina JIWE na wenzake.. si amepanda mkulima.. na mbegu kanunua mwenyewe.. haki yake kuamua kuuza au asiuze
Maskini hujui kitu na hutaki kujifunza.
 
Uko wapi elezea vizuri habari yako


Mimi huku singida chakula kipo tell.debe 5000...chakula sio shida tatizo Ni hela yaani kuishika 50000 Ni mziki mnene
Aisee kweli hali ni mbaya huko uliko! Yaani kushika nyekundu imekuwa ishu? ! Poleni sana.
 
Asavali chakula imeshuka bei, hii ni. Muhimu sana, CCM oyeee [emoji41]
 
Back
Top Bottom