Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Uko sahihi Mkuu, huku Mpwapwa vijijini, wakulima wanauza debe 3500 - 4500
hawa inabidi warudi kwenye kilimo cha mahindi marekani darasa la sita jiografia ya ulimwengu ambapo zaidi ya 80% inatumika kwa mifugo! kiukweli nilikuwa naona kama wanadanganya kwa jinsi ninavyoupenda ugali lakini kwa mazingira ya sasa inabidi mahindi yatumike kwa mifugo kama kutengenezea chakula cha kuku na nguruwe na huko ni wafugaji wazuri tu inaweza kulipa.
mfano ikiwa nguruwe anakula kilo mbili kwa siku unahitaji jumla ya kilo 60 kwa mwezi na kilo 240 kwa miezi minne ambayo sawa na gunia mbili za mahindi kwa mahindi ya dodoma yalivyo mazito ambapo nguruwe huyo atakuwa na kama kilo 70 kama atalishwa vizuri.
ikiwa kilo moja itauzwa shilingi 4000 mkulima atapata jumla ya mauzo 280,000/- ukilinganisha na gunia mbili zenye thamani ya shilingi 54,000/- kwa sasa.
hivyo akitoa 54,000 za chakula ,30,000 za bei ya nguruwe na 16,000 matibabu unabaki na 180,000 wakati gunia likipanda litafika 60,000 sasa kwa gunia mbili 120,000 ukitoa gharama thamani ya mwanzo 54,000 unapata 66,000 gharama za kuhifadhi 10,000 faida inaweza kuwa haizidi 50,000 kwa gunia mbili. haitoshi hata kulimia kwa trekta ekari mbili wakati faida ya nguruwe inalima ekari 6 na kama kila ekari italeta gunia tano yaweza leta gunia 30 zinazoweza kusaidia ufugaji wa nguruwe 15 na kuleta pato la 180,000x15=2,700,000.
hapo vipi!
 
Kwahiyo unataka tukuuzie gunia 200/= ilihali tumetumia gharama kubwa kwenye uzalishaji??Umeipa kazi ya bure shingo yako kubeba TIKITI MAJI badala ya kichwa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee, watu mna maneno walahi. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kushuka kwa bei ya chakula ni vyema sana, vip haujawahi kusikia ile kauli adui muombee njaa, so vip mchele unashuka lini [emoji848]
 
Tarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.

Pamoja na majukumu ya kusomesha! Haki ya mungu tukutane 2020
We mkulima acha kujijaza upepo na wishful thinking,kwa akili zenu nyie ndo huwa mnaiweka serikali/rais madarakani? Utaishia kukutana na wakulima wenzako
 
Wastani wa kuihudumia ekari moja ni kati ya tsh.400,000-450,000 pembejeo with everything.Kama hali ya hewa ni nzuri na mkulima akafuata procedures zote za kilimo atapata wastani wa gunia 18-25 kwa ekari moja.
Ukichukua 18*30,000=540,000 tayari kuna faida hapo,sasa kelele za wakulima ni wanataka bei za ulanguzi ndo waite faida.Pili kilimo ni biashara na faida yake iko kwenye kuzalisha zaidi badala ya kufanya kilimo cha kujikimu uzalishe kiduchu na utegemee bei za kilanguzi ndo uite faida.Ushauri wa bure maeneo ya vijijini ambako bei haijafikia 30,000 kwa gunia wakulima wajichange ili wafikishe mzigo mjini wauze kwa bei hiyo ya faida maana huko wana vigunia chini ya 20 la sivyo mtaendelea kuwanufaisha wafanyabiashara ambao wanagharamia usafiri haizidi buku 6 kwa gunia yeye anauza zaidi bei niliyitaja hapo juu
 
Ni pm nikutumie hela sasa hivi ya gunia 20 kwa hiyo bei
 
hawa inabidi warudi kwenye kilimo cha mahindi marekani darasa la sita jiografia ya ulimwengu ambapo zaidi ya 80% inatumika kwa mifugo! kiukweli nilikuwa naona kama wanadanganya kwa jinsi ninavyoupenda ugali lakini kwa mazingira ya sasa inabidi mahindi yatumike kwa mifugo kama kutengenezea chakula cha kuku na nguruwe na huko ni wafugaji wazuri tu inaweza kulipa.
mfano ikiwa nguruwe anakula kilo mbili kwa siku unahitaji jumla ya kilo 60 kwa mwezi na kilo 240 kwa miezi minne ambayo sawa na gunia mbili za mahindi kwa mahindi ya dodoma yalivyo mazito ambapo nguruwe huyo atakuwa na kama kilo 70 kama atalishwa vizuri.
ikiwa kilo moja itauzwa shilingi 4000 mkulima atapata jumla ya mauzo 280,000/- ukilinganisha na gunia mbili zenye thamani ya shilingi 54,000/- kwa sasa.
hivyo akitoa 54,000 za chakula ,30,000 za bei ya nguruwe na 16,000 matibabu unabaki na 180,000 wakati gunia likipanda litafika 60,000 sasa kwa gunia mbili 120,000 ukitoa gharama thamani ya mwanzo 54,000 unapata 66,000 gharama za kuhifadhi 10,000 faida inaweza kuwa haizidi 50,000 kwa gunia mbili. haitoshi hata kulimia kwa trekta ekari mbili wakati faida ya nguruwe inalima ekari 6 na kama kila ekari italeta gunia tano yaweza leta gunia 30 zinazoweza kusaidia ufugaji wa nguruwe 15 na kuleta pato la 180,000x15=2,700,000.
hapo vipi!
Mkuu unafanya hii kitu au una uzoefu nayo ama ni hesabu za makaratasi?
 
ip

mikoa gani hiyo kwa bei hiyo? kwa kuwa soko linaonekana mahindi mwaka huu sio mengi kama mwaka jana kwa miji kama dodoma bei ya chini inasimamia 6000 debe
Samahani, kwani debe moja ni sawa na kilo ngapi?
 
Samahani, kwani debe moja ni sawa na kilo ngapi?
inategemea ni mahindi ya wapi lakini linaweza kuwa kati ya kilo 18-22 hivyo kwa gunia la debe sita (ndoo za plastic ndo kipimo kinachotumika kununua kwa wakulima) linaweza kuwa na kilo 120
 
Back
Top Bottom