Wakuu ni masikitiko makubwa kwa wajasiriamali wote waliohifadhi mahindi ghalani kwa kuwa mwaka huu hakuna bei kabisa na inaonekana kuna chakula cha kutosha pia katika mizunguko yangu katika mikoa mbalimbali nimeona mahindi yamestawi vizuri sana; sasa wadau kwa nini serikali isiruhusu wafanyabiashara kuuza nje? na kwenye mashirika kama WFP wakapeleke Somalia na CAR? kwa kweli inasikitisha kwani mipango ya wengi inakwama
Ulienda kuuza mahindi yako wapi ukakataliwa kuyauza?
Kenya wanaanza kununua mahindi from tanzania on may, so waliohifadhi wanaweza kufanya biashara nzuri tu
duh kama ni hivyo basi huu sio wakati wa kuuza bali kununuatunataka bei ifike mpaka sh.700-800 kwa kilo then gunia iwe kati ya 70 to 80,000 tsh per gunia tofauti na sasa kg 400 wakati ulinunua sh.480 kwa kg
tunataka bei ifike mpaka sh.700-800 kwa kilo then gunia iwe kati ya 70 to 80,000 tsh per gunia tofauti na sasa kg 400 wakati ulinunua sh.480 kwa kg
duh kama ni hivyo basi huu sio wakati wa kuuza bali kununua
Tena hapo inabidi kununua dawa kwa haraka na kuhakikisha wadudu pia hawafanyi uharibifu wao.., jaribu kutafuta masoko sehemu ya mbali na ulipo, ulizia bei sehemu mbali mbali au weka tangazo humu pia kwa bei unayotaka kuwauzia watu kwa jumla (ila kuwa mwangalifu na matapeli). Ila kama umeweka dawa vizuri na kuna sehemu ya kuyaweka basi usiwe na haraka subiri mpaka msimu wa kuuza ufikeyaani mkuu juzi nimetembea kucheki ya shambani yamestawi vizuri huku ya mwaka jana yamedoda stoo ni hatari sana mengine tulinunua kwa hela za mikopo
Fanya unga. Utalipa zaidi.
Tena hapo inabidi kununua dawa kwa haraka na kuhakikisha wadudu pia hawafanyi uharibifu wao.., jaribu kutafuta masoko sehemu ya mbali na ulipo, ulizia bei sehemu mbali mbali au weka tangazo humu pia kwa bei unayotaka kuwauzia watu kwa jumla (ila kuwa mwangalifu na matapeli). Ila kama umeweka dawa vizuri na kuna sehemu ya kuyaweka basi usiwe na haraka subiri mpaka msimu wa kuuza ufike
yaani mkuu juzi nimetembea kucheki ya shambani yamestawi vizuri huku ya mwaka jana yamedoda stoo ni hatari sana mengine tulinunua kwa hela za mikopo
Hizo ni neema msikasirike.
Toeni sadaka, mtapata barka zaidi.
Hamkupigia hesabu za Kilimo Kwanza? mlifikiri Kilimo Kwanza ni utani.
Baraka na neema ni kwa mkulima kupata masoko ya bidhaa zake pindi anapovuna kama kifutia jasho cha pesa na nguvu alizoweka (yeye kazi yake kwa kiasi kikubwa amemaliza) kwahio ni jukumu la serikali (ambayo inaamini kilimo ni uti wa mgongo na wakulima ndio moja ya nguvu kazi kubwa) kuhakikisha kwamba kuna miundo mbinu ya either huyu jamaa kufikisha mazao yake sokoni kwa urahisi, au kununua mazao ya huyu jamaa kwa bei nzuri sana (ili asikate tamaa) na kutafuta masoko nje ya nchi n.k. (ili jamii na nchi nzima ifaidike)
Fanya unga. Utalipa zaidi.
Mkulima unatakiwa ujuwe namna ya kuongeza thamani ya mazao yako, nimekwambia fanya unga, usitegemee kuuza mahindi makavu tu.
Kwa mahindi nnavyoyajuwa, hata ukiuza 400 kilo bado hauna hasara, labda wewe si mkulima ni mlanguzi.