Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Kwani bei ya mahindi inaangalia mahali hapa yupo mbunge gani ndugu?Songea ni mlimchagua mbunge wa chama gani?
Ili tuwasiliane nae khs shida hii.
hapana mkuu usimjibu kwa jazba. Serikali lazima iwasaidie wakulima yani haiwajali kabisa. Ikishindikana kuwapa ruzuku Basi iwasaidie kwa kupunguza Bei pembejeo wakati huu Hali mbaya kwao Sasa kazi ya Waziri wa kilimo Ni Nini?Kwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.
Limeni acheni uvivu
Unafahamu garama za kulima mahindi heka moja wewe?Kwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.
Limeni acheni uvivu
upo songea ipi,bei elekezi ya UREA ni shilingi 41,700/- kama ukinunulia kwenye maghala(SODECO) tsh 40,500/- umeuziwa wapi ndugu?Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
Kwani Mbolea Gunia moja ndio inatoa Mahindi Gunia moja??Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
hizi ni hesabu za mezani. vitendea kazi ni karatasi, kalamu na kikokotoo (calculator). nenda kwenye uhalisia/vitendo; utakuta formula zako ni uselessUkilima heka 1 utatumia jumla ya mifuko 3 na ukizingatia mashart km palizi na kuweka mbolea kwa wakati utavuna gunia 17-22 kwa heka hivyo ukiuza hata gunia kea elf 20 utapata wastani Wa tsh400000 kwa heka wakati mbolea Itakuwa ni tsh 150,000. Tusikate tamaa tuendelee kulima
Ww ndio huelewi mjomba.. Mbolea imeadimiaka..mfuko wa kg 25 ni kama 26000...na kuupata mfuko wa kg 50 hapo sodeco ni ishuupo songea ipi,bei elekezi ya UREA ni shilingi 41,700/- kama ukinunulia kwenye maghala(SODECO) tsh 40,500/- umeuziwa wapi ndugu?
Hapo umenena mkuuWakulima badilikeni heshimuni ushauri na maelekezo ya wataalam wa kilimo. Kazi kuungana na wasiasa kuwashambulia wataalam. Itawasaidia nini? Mnapigwa machanga ya macho na wanasiasa Si wanataka kura zenu. USHAURI: limeni mazao kwa kuzingatia mahitaji ya soko? Hamwelewi nyinyi? Mahindi siyo dili kwa sasa. Kila Mkoa na kabila chakula chao ni ugali wa mahindi hivyo wote wanazalisha mahindi. Mbaya tena soko la mahindi yetu la Kenya limedorora Wanadai ni machafu na yana sumu. Wananunua mahindi ya Zambia! Na kwa namna Serikali yetu isivyokipa kipaumbele cha kutosha kilimo hatuwezi kushindana na Zambia kwani Serikali yao inaweka ruzuku nzuri ktk kilimo. Msimu uliopita waliingiza mahindi meupe nchini kwa TSh. 28,000. 00 kwa mfuko wa kilo 100 !Tulipiga kelele hao! Wakulima badilikeni. Msiwe marafiki wa wanasiasa. Muwe marafiki wa wataalam! Kwanza wengi wa wanasiasa wetu wana taaluma za sanaa. Sayansi ya kilimo na mifugo wapi na wapi!
Sodecco hawauzi mbolea, ila kwenye maghara Sonamcu na bei ndio hiyo hiyoupo songea ipi,bei elekezi ya UREA ni shilingi 41,700/- kama ukinunulia kwenye maghala(SODECO) tsh 40,500/- umeuziwa wapi ndugu?