Taarifa yako iko nusu mkuu hiyo mbolea ina cover heka ngapi? Na kwenye heka yanatoka majunia mangapi? Ndiyo tutaelewa na kuchangia vizuri mada yako.Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.