Taarifa yako iko nusu mkuu hiyo mbolea ina cover heka ngapi? Na kwenye heka yanatoka majunia mangapi? Ndiyo tutaelewa na kuchangia vizuri mada yako.Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
Heka moja unatumia mifuko mitatu mmoja kukuzia na miwili kuzalishia weka gharama ya parizi kulima kuvuna ,kuyasafirisha na kuyahifadhiTaarifa yako iko nusu mkuu hiyo mbolea ina cover heka ngapi? Na kwenye heka yanatoka majunia mangapi? Ndiyo tutaelewa na kuchangia vizuri mada yako.
hapana mkuu usimjibu kwa jazba. Serikali lazima iwasaidie wakulima yani haiwajali kabisa. Ikishindikana kuwapa ruzuku Basi iwasaidie kwa kupunguza Bei pembejeo wakati huu Hali mbaya kwao Sasa kazi ya Waziri wa kilimo Ni Nini?
Nchi zilizoendelea mbona serikali zao zinawapiga jeki Na tough wakati was mauzo yakiwa chini?
Na watu wa vijijini ndio ngome ya hicho chama.Mkome kuichagua ccm kulima mlime nyie kuvuna mkatazwe kuuza nje matokeo yake ndiyo hayo
Kwan shamba linatoa gunia 10 kwa mfuko mmoja ni mbolea tu inayi cost??Kwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.
Limeni acheni uvivu
Kaaz kweli, huku kwetu mahindi elf 65 hadi70Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
wapi huko?Kaaz kweli, huku kwetu mahindi elf 65 hadi70
Mkome kabisa hicho ndicho mlicho chagua mnalia nini?Hali ni tete kwa wakulima wa mahindi, bei ya mahindi na bei mbolea tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.
bei ya mbolea aina ya urea ni tsh,58 000,
bie ya mahindi kwa gunia ni tsh,24000,
basi kwa niaba ya wakulima tunaomba wenye mamlaka waokoe jahazi, maana tutashindwa kuzalisha mahindi kwa ufanisi msimu wa kesho.
hujawahi kulima wewe na hujui hali ya wakilima wengi wa tanzaniaKwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.
Limeni acheni uvivu
AhsanteMkome kabisa hicho ndicho mlicho chagua mnalia nini?
Wewe ulichagua ninMkome kabisa hicho ndicho mlicho chagua mnalia nini?
Sikuchagua Yule anaye ona wivu majaji kwenda kula bata South.Wewe ulichagua nin
Rais wako naniSikuchagua Yule anaye ona wivu majaji kwenda kula bata South.
Niliye mchaguaRais wako nani
Ache kuwafanya wenzie wajinga halafu wewe mwerevuNiliye mchagua
Unajifanya mjinga ni mwenyewe your choice your future. Wasilalamike hiyo ndiyo future waliochaguaAche kuwafanya wenzie wajinga halafu wewe mwerevu
I think you become matured or your brain still childish.Unajifanya mjinga ni mwenyewe your choice your future. Wasilalamike hiyo ndiyo future waliochagua