Hujitambui hivi kwenye nchi kuna rais wangapi w Jamhuri, acha umbulula .unajifanya mjuaji kumbe zero brainUnajifanya mjinga ni mwenyewe your choice your future. Wasilalamike hiyo ndiyo future waliochagua
Zero brain ni wewe unaye lalamikia kitu ulicho kichaguaHujitambui hivi kwenye nchi kuna rais wangapi w Jamhuri, acha umbulula .unajifanya mjuaji kumbe zero brain
By then. who that is making complaints acha utoto mpe mwenzie njia sio kejele after all unaweza kuta mtoto wa maka kula kulala bureZero brain ni wewe unaye lalamikia kitu ulicho kichagua
Nimempa suruhu nayo ni your choice your future usichague mtu ambaye anaona wivu hata jaji kwenda South kula bata unategemea niniBy then. who that is making complaints acha utoto mpe mwenzie njia sio kejele after all unaweza kuta mtoto wa maka kula kulala bure
Ndugu ni rahisi kusema ila kilichowakuta wakulima Ruvuma msimu huu mungu anajua, hizo soya ndo usiseme kabisa!Mkuu Natus umewaambia vyema kabisa,kwa mkoa wa ruvuma wanaweza kulima hata maharagwe na soya na ukapiga hela.Sio kusikiliza wanasiasa tu.Bali tafuteni wataalamu wa kilimo wawasaidie.Kilimo cha mazoea kimepitwa na wakati
Msimu huu hakuna cha mahindi wala maharage, maharage mapya yameshuka mpaka Tsh 15,000/ kwa debe kule Lupembe wakati ambapo msimu huu mwaka jana ilikuwa 35,000/ bila chenga. Mahindi ndio hayo Tsh 3,500/ mpaka 4000/ ukibahatika.Ndugu ni rahisi kusema ila kilichowakuta wakulima Ruvuma msimu huu mungu anajua, hizo soya ndo usiseme kabisa!
Msimu huu hakuna cha mahindi wala maharage, maharage mapya yameshuka mpaka Tsh 15,000/ kwa debe kule Lupembe wakati ambapo msimu huu mwaka jana ilikuwa 35,000/ bila chenga. Mahindi ndio hayo Tsh 3,500/ mpaka 4000/ ukibahatika.
Hao hao Wanalizombe waliotia nguvu kwenye Tangawizi maeneo ya Madaba, bei imeshuka mpaka Tsh 500/ toka Tsh 4,000/ ya 2015.Na wale waliojishaua kulima Mbaazi, nadhani kila mtu anajua. Na sisi tuliootesha miti ya mbao maeneo ya Madaba biashara imedoda mbaya, hata wale wakuuza miche wanatoa macho, hakuna wa kununua.
Ukilima heka 1 utatumia jumla ya mifuko 3 na ukizingatia mashart km palizi na kuweka mbolea kwa wakati utavuna gunia 17-22 kwa heka hivyo ukiuza hata gunia kea elf 20 utapata wastani Wa tsh400000 kwa heka wakati mbolea Itakuwa ni tsh 150,000. Tusikate tamaa tuendelee kulima
Ina maana hujui kazi ya Mbunge?.Kwani bei ya mahindi inaangalia mahali hapa yupo mbunge gani ndugu?
Kwa hiyo hizo gunia kumi,zilizalishwa kwa mbolea tu??, Hapo hujaweka gharama za kukodi shamba, kuandaa, kulima, kupanda, kununua mbegu, madawa, palizi, Kuvuna, kupura, kununua mifuko, kupakia, Usafirishaji kwenda Sokoni, hizi zote ni gharama za uzalishaji nje na mbolea, hivi kuna faida kweli hapo? Kumbuka hujaweka vitu km Mafuriko, ukame, na Wadudu wavamizi, mambo yanayoathiri sana mavuno.Kwani bei ya mahindi ikiwa 24000 na mbolea ikiwa 58000 kuna ahida gani? Kama ungekuwa unavuna gunia moja ndio ingekuwa tatizo. Kama unatumia mbolea mfuko m1 na unapata mahindi gunia 10 mbona sawa tu.
Limeni acheni uvivu
Kazi ya mbunge ni kupanga bei za mazao?Ina maana hujui kazi ya Mbunge?.
Gharama si mbolea tu, ni vingi sana mbolea ni kitu kimojawapo ili kufika hatua ya kuyapaki magunia ya mahindi. Kwa hali hii kazi tunayo sisi wakulima.Ukilima heka 1 utatumia jumla ya mifuko 3 na ukizingatia mashart km palizi na kuweka mbolea kwa wakati utavuna gunia 17-22 kwa heka hivyo ukiuza hata gunia kea elf 20 utapata wastani Wa tsh400000 kwa heka wakati mbolea Itakuwa ni tsh 150,000. Tusikate tamaa tuendelee kulima