M MalumeNdago Member Joined Jan 8, 2018 Posts 17 Reaction score 19 Jul 16, 2024 #1 Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 6,682 Reaction score 11,461 Jul 16, 2024 #2 Kabati la nini?
Abou Shaymaa JF-Expert Member Joined Oct 19, 2022 Posts 1,479 Reaction score 3,229 Jul 16, 2024 #3 Weka picha na namba zao tuwaulize
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Jul 17, 2024 #4 Nenda kawaulize