Kabla ya vita vitu vilipanda bei baada ya viwanda vingi kufungwa juu ya covid,, hiyo 2021,, 2022 bei inakua haishuki sababu ya vita,,, Russia ndo mzalishaji mkuu wa mbolea , Europe walikuwa wananunua Russia,, kwasasa Russia iko sanctioned, hivyo hata meli zinakwepa kubeba mbolea ya Russia,,
Hivyo wazalishaji wengine duniani hawalitoshelezi soko la mbolea duniani,,
Soo in short, SUPPLY iko down, DEMAND imeshoot na hivyo PRICE imekua juu,,
Very simple explanation,,, it is not like Bashe anapenda mbolea iwe juu