Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara.Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu
Ni lini hamkuwalaghai kwa maneno haya haya? Mliwasaidia?Tukiwasaidia kuongeza volume ya kununua mzigo na pembejeo zikiwa bei ya chini hawatakuwa na hasara.
Kimsingi bei ya mchele kuwa kubwa mjini na ndogo vijijini ni matokeo ya gharama sio faida.
Karibu kwa biashara 0674353374Habari ndugu
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara