Bei ya mchele ipoje Kahama

Bei ya mchele ipoje Kahama

Hapa nilipoo 1kg ni Tsh800/= tu mkali buku. Na Badoo haujachanganyaaa. Gunia 42000/=
 
Wapi
Biashara za hasara hizi. Huo muda unaweka pesa store huoni unapoteza fursa nyingi za kumia hiyo hela?
Ni kweli,Binafsi Nipo sahihi kutokana na kazi yangu.Mpunga nanunua napaki narudi naendelea na kazi yangu..mdaa Bei ikitiki malengoo nauza,huku kazi inayonilisha nimemantain.
 
Nchi imekosa viongozi sahihi,yaani sector ya kilimo ndio uti wa mgongo kuinua uchumi wa mtu mmojamoja lakini imekua UTI. Saa Mwaka huu kunasababu Gani ya kufunga mipaka mpunga na mahindii yasiende njee kupanua sokoo na mkulima auze Bei faida. Umaskini unalelewa wakati mwingine na serikali.

Wakulima wanapitiaga maisha magumu sana,mfano mtu anauza gunia 42000/=la mpunga. Shidaa ya million atauza mangapio,Kwenye koroshoo ndo hovyo+. Kenya,Sudani,Uganda,Congo DR na Zambia tungewalisha wakulima wangenufaika Sanaa na ingepush 75%ya uchumi wa watanzania Hawa.
 
Wewe choma mafuta tu mpaka Kahama humu hakuna kitu.

Nayaona magari madogo yenye usajili wa Kenya mitaa hiyo ya mashine za kukoboa hapo Malunga kila nikipita hapo ujue mambo ni bambam.
 
Huku mchele mzuri sana 1000 kwa kilo, wakulima wetu wataendelea kufa masikini tu
Kinachowauwa ni maamuzi yao na kukosa mitaji, sidhani kama kuna mtu anawalazimisha kuuza huo mchele wakati huu ambapo bei imeshuka sana.
 
Kinachowauwa ni maamuzi yao na kukosa mitaji, sidhani kama kuna mtu anawalazimisha kuuza huo mchele wakati huu ambapo bei imeshuka sana.
Unazijua shidaa,mfano mkewe anaelekea kujifungua Hana kipato kingine asiuze? Mtoto ameishiwa sale za shule asiuze? Mtoto anataka kuoa asiuze? Tatizo serikali ifungue mipaka na kutafuta sokoo njee Ili akiuza asolve problems nyingi za huyo mkulima.
 
Back
Top Bottom