Usitupigie kelele sisi walamba asaliWaziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
Mama anafungua nchi tulieniWaziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
Kwasasa bei gani?nasubiri kilo ya sembe ifike 3,000; ndiyo tutaanza kuongea lugha moja.
Buku mbili.Kwasasa bei gani?
Mnawaza kulakula tu. Badala ya kujikita mawazo yenu kwenye kufanya kazi kwa bidii ili huo mchele na unga ushuke bei.Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
1,800 tshs.Kwasasa bei gani?
NCHI IMEFUNGULIWA KILA MMOJA APAMBANE KIVYAKOWaziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
Hawezi akakuelewa yeye analamba asali..hii nchi imeshiikwa na mafisadi ndio yanayopanga beiWaziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
Sasahivi ni 1700.nasubiri kilo ya sembe ifike 3,000; ndiyo tutaanza kuongea lugha moja.
Mkuu bila kula huo ubongo utafanyaje kazi ilhal haupati energy....(low thnkin capacity)Mnawaza kulakula tu. Badala ya kujikita mawazo yenu kwenye kufanya kazi kwa bidii ili huo mchele na unga ushuke bei.
Mnaendekeza kulakula tu hovyohovyo ndo maana bongo zenu zinamushkel na IQ zenu zimedumaa. Fanyeni kazi nyie. Maendeleo hayaji kijingajinga huku mmekusanyana kwenye vijiwe vya umbea mkijadiliana kulakula tu.Mkuu bila kula huo ubongo utafanyaje kazi ilhal haupati energy....(low thnkin capacity)
Huyu mtoa maada cjui hafirii ..hawa watu huwa hawaeleweki ukimwambia kalima utaulizwa soko liko wapi,leo soko lipo analilia kama mbuzi,ashike nayeye jembe aje atuuzie bei chee..Wakati mbolea imepanda kutoka 50,000 mwaka jana mpaka 120,000 mwaka huu mnategemea mchele uliouzwa 1500 mwaka jana na mwaka huu ibaki bei hiyo hiyo.? Mkulima akishindwa kurudisha gharama za uzalishaji ujue msimu ujao watalima wachache na hapo ndio utajua hujui.
Nimewakilisha wakulima nisipigwe mawe na walaji.