Bei ya mchele yapaa kilo Tsh 2,300 kutoka Tsh 2,000

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna.

Serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! Endeleeni kusema vita vya Urusi na Ukraine ndoo vimeleta majanga hayo.
 
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
Usitupigie kelele sisi walamba asali
 
Mama anafungua nchi tulieni
 
Mnawaza kulakula tu. Badala ya kujikita mawazo yenu kwenye kufanya kazi kwa bidii ili huo mchele na unga ushuke bei.
 
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna , serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! endeleeni kusema vita vya urusi na ukraine ndoo vimeketa majanga hayo.
NCHI IMEFUNGULIWA KILA MMOJA APAMBANE KIVYAKO
 
Hawezi akakuelewa yeye analamba asali..hii nchi imeshiikwa na mafisadi ndio yanayopanga bei

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwakweli watu watakufa njaa..Bei inapanda Sana..serikali iko wapi ???
 
Wakati mbolea imepanda kutoka 50,000 mwaka jana mpaka 120,000 mwaka huu mnategemea mchele uliouzwa 1500 mwaka jana na mwaka huu ibaki bei hiyo hiyo.? Mkulima akishindwa kurudisha gharama za uzalishaji ujue msimu ujao watalima wachache na hapo ndio utajua hujui.

Nimewakilisha wakulima nisipigwe mawe na walaji.
 
Mkuu bila kula huo ubongo utafanyaje kazi ilhal haupati energy....(low thnkin capacity)
Mnaendekeza kulakula tu hovyohovyo ndo maana bongo zenu zinamushkel na IQ zenu zimedumaa. Fanyeni kazi nyie. Maendeleo hayaji kijingajinga huku mmekusanyana kwenye vijiwe vya umbea mkijadiliana kulakula tu.
 
Wakati mbolea imepanda kutoka 50,000 mwaka jana mpaka 120,000 mwaka huu mnategemea mchele uliouzwa 1500 mwaka jana na mwaka huu ibaki bei hiyo hiyo.? Mkulima akishindwa kurudisha gharama za uzalishaji ujue msimu ujao watalima wachache na hapo ndio utajua hujui.

Nimewakilisha wakulima nisipigwe mawe na walaji.
Huyu mtoa maada cjui hafirii ..hawa watu huwa hawaeleweki ukimwambia kalima utaulizwa soko liko wapi,leo soko lipo analilia kama mbuzi,ashike nayeye jembe aje atuuzie bei chee..
 
Back
Top Bottom