RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Waziri wa kilimo tunaomba zuia nafaka kuuzwa nje ya nchi hali ni tete watu wanalia chakula hakushikiki mitaani bei ipo juu na fedha hamna, mchele awali ulikuwa ukiuzwa tsh 2000 kwa kilo kwa sasa tsh2300/= unga wa mahindi ulikuwa unauzwa tsh 800/=kwa kilo kwa sasa tsh1500/= vyote hivyo vimepanda huku pesa hamna.
Serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! Endeleeni kusema vita vya Urusi na Ukraine ndoo vimeleta majanga hayo.
Serikali iache kuziba masikio kuhusu hili njaa ndiyo inaleta matatizo kwa wananchi! Endeleeni kusema vita vya Urusi na Ukraine ndoo vimeleta majanga hayo.