Bei ya mkaa Dar es salaam

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Huko ni bei gani kwa gunia/roba.Naomba kujuzwa bei ya mkaa huko Jijini Dar es salaam.
 
Humu wote mnatumia gesi?
MO11 hapo migo migo vipi?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh!!!! mimi natumia kuni kwa kwel, bado sijafikia hio stage ya mkaa. watakuja kukujuza.
 
uwashaji wa mkaa kero tupu pili majivu yanachafua mazingira na zile vumbivumbi za mkaa ndiyo balaa kwa kuharibu mazingira.....dar watu wameanza kushtuka na kukimbilia gesi mkuu. si biashara nzuri....labda kama ni makaa ya mawe.
 
uwashaji wa mkaa kero tupu pili majivu yanachafua mazingira na zile vumbivumbi za mkaa ndiyo balaa kwa kuharibu mazingira.....dar watu wameanza kushtuka na kukimbilia gesi mkuu. si biashara nzuri....labda kama ni makaa ya mawe.

Dar ipi ?
 
Roba ndogo 15000, gunia 30000 nakuendelea. Hapo hujasafirisha
 
Basi Dar ni Mji Kibokoo hata hizo Nyama Choma, mishkaki mnatumia gesi Basi tupo mbele hatua moja
huku Dodoma mkaa porini ni 10,000
kibali cha Bwana misitu 8,000 kwa gunia / kiroba
usafiri mpaka Dodoma ni 5,000. mpaka Dar 10,000
kwa hiyo kwa Dodoma ni 20,000 Dar inatakiwa iwe 28,000
kwa vile wengi wanakwepa vibali ndio maana unakuta Gunia Dodoma 16,000
na Dar 25,000
ila Deo Corleone wakikukamata hawa Maliasili wanautaifisha mzigo wote
Lori kubwa linajaza hadi gunia 130 na faida unayoipata tu ufikapo Dar km hao madalali hawatakuingiza Mjini basi ni 600,000/ laki sita kwa safari moja ambayo humaliza kuanzia wiki hadi wiki 3 toka porini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…