Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tuwaulize.. sister Apologise lady miss chagga lady furahia mamaafacebook farkhina..na wadada wengine wa JF...
Dar ipi ?
Hizoguniazajamiiforums labda!!gunialamkaakubwa no sh 40'000=50000 mkuu kamaunachamel nipm ninasehemuyakuwekeamkaa
bei ya mkaa kwa gunia iliyojaa rumbesa mkaa kutoka Tabora ni shilingi elfu 60,000 mpaka 65,000
Ahsante, ila sahizi Si ndo masika?Ujazo wa lumbesa ni tzs 70k - 80k msimu huu wa kiangazi. Masika ikianza inapanda tzs 90k - 100k..
Habari Deo Cerleone,
Bei za mkaa zinatofautiana kutokana na eneo lenyewe kwa hapa Dar.
.Bei nje ya Dar na kati kati ya Dar ni tofauti,Nitaweka range za bei zake.
1.Kiroba kidogo cha kilo 25 kinauzwa kwa mjini ni kuanzia 13,000 hadi 15,000/= ila pembezoni mwa mji kama mwasonga wanauza 6,000/= kibada na toangoma wanauza 10,000/= mbagala 12,000/=
2.Kiroba cha kilo 50 kinauzwa 25,000 hadi 30,000/=
3.Kiroba cha kilo 100 wanauza 40,000 hadi 50,000/=
4.Gunia la kilo 100 lumbesa kuanzia 60,000 hadi 65,000/=
.Gesi kilo 15kg(Mtungi wa kilo 30) Kujaza ni 55,000 hadi 60000/=
.Mafuta ya Taa Lita moja rejareja wanauza lita 1 Tsh 2,500/=
.Unit Moja ya Umeme ni Tsh 306(Jiko la 2000w kwa masaa mawili ya kupika mchana,moja asubuhi na mawili usiku,unahitaji Tsh 3,000 kununua umeme)
Mkuu Chagua ni lako angalia njia ipi ni nafuu kwako