Bei ya mkaa Dar es salaam

Bei ya mkaa Dar es salaam

Hapo umeacha bei ya Solar tu Mkuu Amalinze

Kweli Mkuu ila bei ya solar mkuu sio user friend kwa matumizi ya kupikia,unaweza ukaambiwa kufunga system nzima inayoweza kurun majiko yake kitu kikagonga mil 8.
 
Amalinze ,nilimaanisha kwa kuuza!!
Muziki mgumu sana bora nijaribu huku!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom