Bei ya mkaa Dar es salaam

Bei ya mkaa Dar es salaam

Hizoguniazajamiiforums labda!!gunialamkaakubwa no sh 40'000=50000 mkuu kamaunachamel nipm ninasehemuyakuwekeamkaa
 
Deo kimarabaruti-mwisho mpaka 60'000. Unapataukiongeavizuri hiyoninjeyaubebajiii copyright

Nje ya ubebaji kivipi hapo?

Kama natoka na lory la mkaa toka mkoani inakuaje hapo
 
Last edited by a moderator:
Namaanishaukinununuakimarapenginewatakaupelekewenyumbani hiyobeiaihusiki ilaunalipampwa nipm tupgekazi
 
bei ya mkaa kwa gunia iliyojaa rumbesa mkaa kutoka Tabora ni shilingi elfu 60,000 mpaka 65,000
 
Tabora raha.Mkaa Gunia sh 15000-20000 mjini.Kijijini gunia sh 5000-6000
 
Mkuu Deo usije ukaingia kichwa kuchwa kabla ya kupeleka mzigo fatuta wanunuzi kwanza au uwe na sehem ya kushushia then una sambaza jamaa yangu ilikula kwake akaanza kuzunguka na gari tu!
 
Last edited by a moderator:
Habari Deo Cerleone,

Bei za mkaa zinatofautiana kutokana na eneo lenyewe kwa hapa Dar.
.Bei nje ya Dar na kati kati ya Dar ni tofauti,Nitaweka range za bei zake.

1.Kiroba kidogo cha kilo 25 kinauzwa kwa mjini ni kuanzia 13,000 hadi 15,000/= ila pembezoni mwa mji kama mwasonga wanauza 6,000/= kibada na toangoma wanauza 10,000/= mbagala 12,000/=

2.Kiroba cha kilo 50 kinauzwa 25,000 hadi 30,000/=

3.Kiroba cha kilo 100 wanauza 40,000 hadi 50,000/=

4.Gunia la kilo 100 lumbesa kuanzia 60,000 hadi 65,000/=

.Gesi kilo 15kg(Mtungi wa kilo 30) Kujaza ni 55,000 hadi 60000/=

.Mafuta ya Taa Lita moja rejareja wanauza lita 1 Tsh 2,500/=

.Unit Moja ya Umeme ni Tsh 306(Jiko la 2000w kwa masaa mawili ya kupika mchana,moja asubuhi na mawili usiku,unahitaji Tsh 3,000 kununua umeme)

Mkuu Chagua ni lako angalia njia ipi ni nafuu kwako

Ujazo wa lumbesa ni tzs 70k - 80k msimu huu wa kiangazi. Masika ikianza inapanda tzs 90k - 100k..
 
Mkuu Deo usije ukaingia kichwa kuchwa kabla ya kupeleka mzigo fatuta wanunuzi kwanza au uwe na sehem ya kushushia then una sambaza jamaa yangu ilikula kwake akaanza kuzunguka na gari tu!

Duh!! Poa nitafuata huo ushauri
 
Last edited by a moderator:
Habari Deo Cerleone,

Bei za mkaa zinatofautiana kutokana na eneo lenyewe kwa hapa Dar.
.Bei nje ya Dar na kati kati ya Dar ni tofauti,Nitaweka range za bei zake.

1.Kiroba kidogo cha kilo 25 kinauzwa kwa mjini ni kuanzia 13,000 hadi 15,000/= ila pembezoni mwa mji kama mwasonga wanauza 6,000/= kibada na toangoma wanauza 10,000/= mbagala 12,000/=

2.Kiroba cha kilo 50 kinauzwa 25,000 hadi 30,000/=

3.Kiroba cha kilo 100 wanauza 40,000 hadi 50,000/=

4.Gunia la kilo 100 lumbesa kuanzia 60,000 hadi 65,000/=

.Gesi kilo 15kg(Mtungi wa kilo 30) Kujaza ni 55,000 hadi 60000/=

.Mafuta ya Taa Lita moja rejareja wanauza lita 1 Tsh 2,500/=

.Unit Moja ya Umeme ni Tsh 306(Jiko la 2000w kwa masaa mawili ya kupika mchana,moja asubuhi na mawili usiku,unahitaji Tsh 3,000 kununua umeme)

Mkuu Chagua ni lako angalia njia ipi ni nafuu kwako

Hapo umeacha bei ya Solar tu Mkuu Amalinze
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom