Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

Bei inategemeena inaanzia 1400/1500/1600/1700/1800 super kwa kilo
 
Loya Tabora Mpunga ni elfu 90-100. Ila kwa sasa elfu 90 ni nadra. Wengi wanataka laki moja

Nataka kujua kahama ni sh ngapi?
 
Wakuu anae hitaji alizeti pure nitamtumia kwa uaminifu mkubwa nipo singida kwa Muda baada ya hapa nitakua dar so atake kuwa interested nitamtumia kwa bus.
 
Mkuu na mimi nataka mafuta bei gan niko dsm
Lita 5 ni 17k pamoja na kidumu 19k Lita 20 ni 57k pamoja na dumu lake 59k ukinunua mfano vidumu vya Lita 5 vikiwa vinne au vitani kuvisafirisha kwa bus ni 7k mpaka dar hii hapa risiti nimetoka kumpakilia mtu vidumu kama 20 kwenye bus la Esther [emoji116] View attachment 2660570View attachment 2660569
PXL_20230617_110342941.jpg
View attachment 2660571
 
Back
Top Bottom