Bei ya Ng'ombe wa Maziwa

Bei ya Ng'ombe wa Maziwa

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na Je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani.

Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.
 
Bei ya Ng’ombe wa maziwa inategemea vitu vingi, aina kuna Freshian, Jersey , Aryshire lakini pia Matunzo zipo aina katika hizo zinaweza kuhimili mazingira yetu. Wapo Ng’ombe wana uwezo wa kutoa lita10,16,20,30 kwa siku. Inategemea matunzo na malisho yako.

Bei ni kuanzia 1.5 milion na kuendelea kulingana na uwezo wa Ng’ombe, Mimba kama amepandishwa au anakamuliwa Ng’ombe wa lita 20-30 bei lazima iwe juu. Mimi ni graduate niliona fursa hiyo hapo nyuma. Nilitafuta sana Ng’ombe wa kufuga hadi kuja kupata nilikutana na madalali na matapeli pia humu humu JF.

Kuhusu soko la maziwa inategemea na eneo ulipo, mfano mimi nipo DODOMA, demand ya Maziwa ipo juu sana. Lita ni 2000 na ni kutafuta. NIKUSHAURI UWE NA USIMAMIZI MZURI KWENYE MALISHO USIWAACHIE VIJANA PEKEE.
 
Bei ya Ng’ombe wa Maziwa inategemea vitu vingi aina kuna Freshian, Jersey , Aryshire lakini pia Matunzo zipo aina katika hizo zinaweza kuhimiri mazingira yetu. Wapo Ng’ombe wana uwezo wa kutoa lita10,16,20,30 kwa siku inategemea matunzo na malisho yako. Bei ni kuanzia 1.5 milion na kuendelea kulingana na uwezo wa Ng’ombe, Mimba kama amepandishwa au anakamuliwa Ng’ombe wa lita 20-30 bei lazima iwe juu .Mimi ni graduate niliona fursa hyo hapo nyuma Nilitafuta sana Ng’ombe wa kufuga ad kuja kupata nilikutana na madalali na matapeli pia humu humu JF . Kuhusu soko la Maziwa inategemea na eneo ulipo mfano mimi Nipo DODOMA demand ya Maziwa ipo juu sana lita ni 2000 na ni kutafuta. NIKUSHAURI UWE NA USIMAMIZI MZURI KWENYE MALISHO USIWAACHIE VIJANA PEKEE.
Kwahiyo tuambie, ng'ombe unao wangapi na uliwanunua wapi, na unawatunzaje na maziwa unayauza kwenye diaries au kawaida kawaida in short soko limekaaje coz hapo ndo kwenye dhamira ya kufuga ng'ombe wa maziwa?
Na nilishawahi kusikia kwamba ng'ombe wa maziwa anatoa maziwa mfululizo hata ndama akiacha kunyonya kutegemea ma malisho, je hii dhana mi kweli?
 
Ng’ombe wa kisasa hatunyonyeshi unakamua unampa pembeni ndama kukamua ni endelevu non stop, Soko la Maziwa ni bill na reja reja (soko inategemea na ulipo wewe). Mimi nilinunua kwa mzee alihamishwa kikazi nilimpa hela kiasi akanipa Ng’ombe watano, wengine nilinunua kwa mtu.
 
Ng’ombe wa kisasa hatunyonyeshi unakamua unampa pembeni ndama kukamua ni endelevu non stop, Soko la Maziwa ni bill na reja reja (soko inategemea na ulipo wewe).Mimi nilinunua kwa mzee alihamishwa kikaz nilimpa ela kiasi akanipa Ng’ombe watano wengine nilinunua kwa mtu
Vizuri, we uko wapi sasa?
 
Mi nafugia DODOMA
Tupe uzoefu wa faida na hasara katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nipo KIBAHA mkoa wa Pwani, natamani kufuga ng'ombe wa maziwa.

Ni tumaini langu utatusaidia wengi kupata ufahamu bora wa faida ili tuwekeze nguvu huko kama ujuavyo hakuna ajira, biashara ni ngumu ila kwenye kilimo na mifugo wengi wanadai ni nafuu, tatizo ni elimu ya kutufanya tuvutiwe kuingia huko.

Asante
 
Ng’ombe wa kisasa hatunyonyeshi unakamua unampa pembeni ndama kukamua ni endelevu non stop, Soko la Maziwa ni bill na reja reja (soko inategemea na ulipo wewe).Mimi nilinunua kwa mzee alihamishwa kikaz nilimpa ela kiasi akanipa Ng’ombe watano wengine nilinunua kwa mtu
Samahani n'gombe akiwa na mimba ndio unaanza kumkamua?
Na kukamua ukianza unaachwa akizaa au ni kukamua tu forever au kuna wakati hukamui ?
Na anakuwa anafaa kupandishia kila baada ya muda gani na ukimpandishia unasubiri muda gani ukamue ?
Na ndama akizaliwa inamchukua miaka au miezi mingapi afae kupandishia?
Na fact ya malisho na matunzo ikizingatiwa anaweza toa wastani lita ngapi per day kulingana na hizo AiNa au general?
 
Ng’ombe anapandishwa akishika mimba baada ya miez 9 atazaa unasubir kama week na Cku kadhaa Maziwa yakiwa saf unaanza kukamua hii inategemea na Rotation yakwenye Banda mfano mm nakamua baada ya muda nampandisha tena wakati naendelea kukamua ad mimba inapokua kubwa naacha wakati huo kuna Ng’ombe wengine wanazaa hii ni ku-maintain soko la Maziwa. Kuhusu malisho ni ww na aina ya chakula kuna vyakula vinaongeza utoaji wa maziwa ,pumba,na kama ni Ng’ombe wa Maziwa akishiba vizur lishe na madini uwez kukosa Maziwa yakutosha
 
Tupe uzoefu wa faida na hasara katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa nipo KIBAHA mkoa wa pwani natamani kufuga ng'ombe wa maziwa.
Ni tumaini langu utatusaidia wengi kupata ufahamu bora wa faida ili tuwekeze nguvu huko kama ujuavyo hakuna ajira biashara ni ngumu ila kwenye kilimo na mifugo wengi wanadai ni nafuu tatizo ni elimu ya kutufanya tuvutiwe kuingia huko.
Asante
Ng’ombe wanafaida nzuri tu na risk yake pia ni ndogo wengi wanatamani lakini mazingira hayaruhusu kama una nafasi tafuta ng’ombe.
 
Ng’ombe wanafaida nzuri tu na risk yake pia ni ndogo wengi wanatamani lakini mazingira hayaruhusu kama una nafasi tafuta ng’ombe.
Nafasi ninayo nina mashamba heka 5 yanaweza kutosha kufanya ufugaji ng'ombe zaidi ya 10?
 
Uko morogoro still hujui pa kuwapata?

Nenda sua wapo wengi, nenda solomoni mazimbu camps wako wengi Sana, nenda sangasanga Kuna ngombe wa maziwa kibao kule, nenda mzumbe wako weeeeengi utadhani Ranchi ya taifa.

Kuhusu maziwa inategemea na malisho na utunzaji wake.
 
Bora ukafuga hata kitimoto endapo utakuwa mkiristo kuliko hao ngombe.(samahani)

usipowaogesha dawa na wao wakangatwa na kupe anayesababisha ugonjwa wa (ndagama) mwezi mmoja Ni mwingi Sana utaamka na mzoga.

wanahitaji matunzo ya Hali ya juu ili watoe faida unayoitaka wewe kinyume na hapo utakuwa umejiongezea majukumu yasiyo na msingi.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
uko morogoro still hujui pa kuwapata??

nenda sua wapo wengi, nenda solomoni mazimbu camps wako wengi Sana, nenda sangasanga Kuna ngombe wa maziwa kibao kule, nenda mzumbe wako weeeeengi utadhani Ranchi ya taifa.

kuhusu maziwa inategemea na malisho na utunzaji wake.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ok, labda sikuwa specific mimi nipo Morogoro sehemu inaitwa Lupiro mbele ya Ifakara karibu na Mahenge, by the way thanks for yo advice, kudos!
 
Bora ukafuga hata kitimoto endapo utakuwa mkiristo kuliko hao ngombe.(samahani)

usipowaogesha dawa na wao wakangatwa na kupe anayesababisha ugonjwa wa (ndagama) mwezi mmoja Ni mwingi Sana utaamka na mzoga.

wanahitaji matunzo ya Hali ya juu ili watoe faida unayoitaka wewe kinyume na hapo utakuwa umejiongezea majukumu yasiyo na msingi.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Good advice, though kufuga nguruwe ni kitu nimefikiria kufanya pia.
 
Eneo ni kubwa maana nafasi ya Banda ni ndogo tu kwa Ng’ombe wa kisasa ni Zero - grazing labda sehemu ya kuhifadhi mbolea na Nyasi za akiba
Halafu, katika hili hili, naweza kutafuta eneo kama heka mbili hv nikapanda magugu kwaajili ya ng'ombe?
 
Ok, labda sikuwa specific mimi nipo Morogoro sehemu inaitwa Lupiro mbele ya Ifakara karibu na Mahenge, by the way thanks for yo advice, kudos!
aaah kumbe. sawa chief watu tumezoea MTU akisema Niko morogoro Ina maana Yuko hapa hapa mjini.

huko mwingine tunaita morogoro vijijini au wilayani.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom