Nakukaribisha biriani la kitimoto 🐷🐖🐽Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau.
wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana.
wanaoweza wanunue nyama leo
Kibongo bongo pilau isipokuwa na nyama watoto watakuuliza maswaliSato unaweza kumuoka, kukaanga au kumpika supu. Pilau unapika na njegele, carrots na viazi. Samaki unaweka pembeni na kachumbari.
Huku kwetu ndiyo tunavyoishi hivyo.pilau ni Idi,chrismas au pasaka.siku nyingine hata ukipika pilau halipokelewi kama siku za matukioKwani pilau ni lazima wakati wa sikukuu?
Hakikaa wewe Ni m bunifuu kwenye madiko dikoSato unaweza kumuoka, kukaanga au kumpika supu. Pilau unapika na njegele, carrots na viazi. Samaki unaweka pembeni na kachumbari.