Bei ya nyama inaweza na Sato

Bei ya nyama inaweza na Sato

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau.

wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana.

wanaoweza wanunue nyama leo
 
Nakukaribisha biriani la kitimoto 🐷🐖🐽
 
Sato unaweza kumuoka, kukaanga au kumpika supu. Pilau unapika na njegele, carrots na viazi. Samaki unaweka pembeni na kachumbari.
Kibongo bongo pilau isipokuwa na nyama watoto watakuuliza maswali
 
Kwani pilau ni lazima wakati wa sikukuu?
Huku kwetu ndiyo tunavyoishi hivyo.pilau ni Idi,chrismas au pasaka.siku nyingine hata ukipika pilau halipokelewi kama siku za matukio
 
Back
Top Bottom