Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Mkulima mzuri ni yule anayelima bila kujali hali ya soko ipoje.
Mkulima mzuri ni yule anayelima kwa kuzingatia 'umbo' la
Ndio maana nimeiruka nyanya, nalima mihogo

Uwekezaji kwenye kilimo cha nyanya ni mkubwa lakini faida ni gamble
Tatizo la wakulima wakiona box limefika 60k kila mtu anataka alime nyanya acha wapasuke wabaki wakulima wanaojua soko linataka nini wakati gani
 
Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.

Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
Ndio muda mzuri kuipanda nyanya
 
Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.

Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
huwa inafika afu 8 mkuu, ukiona hivyo supply imekuwa kubwa kuliko demand
 
Tatizo watu hawajifunzi kanuni za kiuchumi, kanuni ndogo tu ya demand and supply ingefanya mtoa mada aache malalamiko, kiangazi hiki mpaka vichaa wamelima nyanya na zimekubali kwelikweli unategemea zitauzwa sado elfu 10?
 
Sio Kila mtu anaweza kujifunza kanuni za kiuchumi....vipi hao vichaa unadhani walijifunza kanuni za kiuchumi? Tafakari!!!!
 
Tanzania tunahitaji mfumo thabiti wa kuhifadhi au ku proccess vyakula vinavyooza.
La sivyo wakulima wataishi bei za kupwa na kujaa milele.
Huko bado sana sisi....tukitaka kufika huko inabidii tuhakikishe tunapata masoko ya uhakika na sio ya msimu mkuu
 
Kitunguu ndo balaa kimetulia kwenye 800-1000 kwa kilo muda mrefu sana huwa namuwaza sana mkulima km bei ipo hivyo dar huko zinapotoka si ni 300 kabisa!
Huku kwetu mwaka jana watu waliuza kitunguu mpaka 220k shambani, mwaka huu wati kibao wamelima now gunia elfu 50 na halina dalili ya kupanda
 
Huku kwetu mwaka jana watu waliuza kitunguu mpaka 220k shambani, mwaka huu wati kibao wamelima now gunia elfu 50 na halina dalili ya kupanda
Daah...hakuna faida hapo
 
Huku kwetu mwaka jana watu waliuza kitunguu mpaka 220k shambani, mwaka huu wati kibao wamelima now gunia elfu 50 na halina dalili ya kupanda
Mpaka mwaka huu mwanzoni kitunguu sokoni ilikuwa almasi, kg ilifika mpaka 5000
 
Back
Top Bottom