Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.

Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
Sasa kama ni msimu wa mavuno ya nyanya unategemea nini ukizingatia nyanya ni perishable goods. Unataka wazifungie ndani zioze!?
 
Back
Top Bottom