Mkulima mzuri ni yule anayelima kwa kuzingatia 'umbo' laMkulima mzuri ni yule anayelima bila kujali hali ya soko ipoje.
Tatizo la wakulima wakiona box limefika 60k kila mtu anataka alime nyanya acha wapasuke wabaki wakulima wanaojua soko linataka nini wakati ganiNdio maana nimeiruka nyanya, nalima mihogo
Uwekezaji kwenye kilimo cha nyanya ni mkubwa lakini faida ni gamble
Ndio muda mzuri kuipanda nyanyaWiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.
Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
Demand & supplyIyo ni kawaida ungesoma uchumi ungejua kwan hapa kati hukuwai kununu limao moja kwa 500 je saiv ipo shingap
huwa inafika afu 8 mkuu, ukiona hivyo supply imekuwa kubwa kuliko demandWiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.
Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
😊 Najazia & vice versa is True.huwa inafika afu 8 mkuu, ukiona hivyo supply imekuwa kubwa kuliko demand
Sio Kila mtu anaweza kujifunza kanuni za kiuchumi....vipi hao vichaa unadhani walijifunza kanuni za kiuchumi? Tafakari!!!!Tatizo watu hawajifunzi kanuni za kiuchumi, kanuni ndogo tu ya demand and supply ingefanya mtoa mada aache malalamiko, kiangazi hiki mpaka vichaa wamelima nyanya na zimekubali kwelikweli unategemea zitauzwa sado elfu 10?
Huko bado sana sisi....tukitaka kufika huko inabidii tuhakikishe tunapata masoko ya uhakika na sio ya msimu mkuuTanzania tunahitaji mfumo thabiti wa kuhifadhi au ku proccess vyakula vinavyooza.
La sivyo wakulima wataishi bei za kupwa na kujaa milele.
Huku kwetu mwaka jana watu waliuza kitunguu mpaka 220k shambani, mwaka huu wati kibao wamelima now gunia elfu 50 na halina dalili ya kupandaKitunguu ndo balaa kimetulia kwenye 800-1000 kwa kilo muda mrefu sana huwa namuwaza sana mkulima km bei ipo hivyo dar huko zinapotoka si ni 300 kabisa!
Mpaka mwaka huu mwanzoni kitunguu sokoni ilikuwa almasi, kg ilifika mpaka 5000Huku kwetu mwaka jana watu waliuza kitunguu mpaka 220k shambani, mwaka huu wati kibao wamelima now gunia elfu 50 na halina dalili ya kupanda