A Alanusjosephat53 Senior Member Joined Dec 29, 2021 Posts 166 Reaction score 220 Oct 28, 2024 #41 Pule said: Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1. Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna. Click to expand... Sasa kama ni msimu wa mavuno ya nyanya unategemea nini ukizingatia nyanya ni perishable goods. Unataka wazifungie ndani zioze!?
Pule said: Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1. Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna. Click to expand... Sasa kama ni msimu wa mavuno ya nyanya unategemea nini ukizingatia nyanya ni perishable goods. Unataka wazifungie ndani zioze!?
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Oct 29, 2024 #42 Nyanya imeshapanda bei tayari
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Oct 31, 2024 #43 Mnachihanguuu said: Nyanya imeshapanda bei tayari Click to expand... Unasema???