Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,

Sawa Mkuu, Mama hana makuu yake Dua kazi tu,

Ukifika leo Usukumani kila kona Shangwe la Samia,

Tangu uhuru pamba haijawahi fika Tshs 1720-1800 ,

Hapa lazima tuseme tu hataka kama wasiotaka wananchi wawe na nafuu ya maisha watachukia,

Mnyonge mnyongeni ila mazuri yake yasemeni,
 
Mimi Kaka yangu analima Pamba alliniambia pamba inatafutwa kama dhahabu kilo ni 1,720 huenda tayari imeshafika hiyo 1,800,

Piga simu bariadi watakwambia huyu Mama anaakili sana,

Yale mambo yanayowakera watu fasta anayamaliza,

Hata Magu pamoja kuwa msukuma alishindwa pamba kabisa,

Go Go Mama tunakupungia mkono,

Asante kwa kumfungua macho ndg yetu,

Bei ya pamba sio jambo la siri,

Huko kanda ya ziwa Story ni Bei ya Pamba,

Naamini mpaka 2030 hii nchi itakuwa Mbali sana kwa Msaada wa Mungu,
 
Kwani wewe kipi kinakuumiza?

Jamaa kuja na data kumfafanua Mama au Bei ya Pamba kupanda,

Wewe sema, Je bei ya Pamba sio 1720-1800 alizosema huyu bwana?

Mimi napenda sana mtu anayekuja na data sio maneno maneno tu,

Mimi sio CCM ila Samia ananipa raha sana,

Tangu nimeanza kufuatilia maandishi ya huyu nimempenda Samia gafla,

Pamoja mkuu
 
Unafahamu bei ya msimu huu imeanza na shilingi ngapi au umedandia hapo mwisho msimu unaisha wanunuzi wanaipigania !!?? Unajua mfumo wa ununuzi na malipo kwa misimu yote uliyoitaja !!?? Umezisoma waraka simamizi za zao hili kutoka bodi ya pamba na kutoka tume ya ushirika!!?? .... Bei ya pamba imeanza na Tsh 1050/ ...... Kwa taarifa yako.
Sijajibiwa hii hoja .... Mtoa mada njoo nipe majibu ... Nipo kwenye hii tasnia ya pamba 12yrs ... Njoo tena ..nataka majibu ya hoja zangu juu kabla sijakutwanga na kitu kizito ambacho kutoamini ...NAOMBA MAJIBU
 
Na bei ikiporomoka pia mrudi hapa hapa. Kilimo cha mazao Tanzania sio pamba, alizeti wala mbaazi. Tazama mazao mengine ya kanda nyingi karibu zote: mahindi, mpunga, maharage, kahawa, vitunguu, maua, vanila, kunde bila kusahau [emoji534] nyanya.

I will be right here waiting for you.
 
Kwani wewe kipi kinakuumiza?

Jamaa kuja na data kumfafanua Mama au Bei ya Pamba kupanda,

Wewe sema, Je bei ya Pamba sio 1720-1800 alizosema huyu bwana?

Mimi napenda sana mtu anayekuja na data sio maneno maneno tu,

Mimi sio CCM ila Samia ananipa raha sana,

Tangu nimeanza kufuatilia maandishi ya huyu nimempenda Samia gafla,
[/QUO

Hakuna kinachoniumiza, ila naona ni mapambio amabayo hayana maana.

Kwani Hapo SSH kafanya nini kwenye soko la pamba ametoa kauli bei ipande au ni automatic tu how ame regulate soko bei ikapanda?
Data ndio kitu gani.
 
Kwani wewe kipi kinakuumiza?

Jamaa kuja na data kumfafanua Mama au Bei ya Pamba kupanda,

Wewe sema, Je bei ya Pamba sio 1720-1800 alizosema huyu bwana?

Mimi napenda sana mtu anayekuja na data sio maneno maneno tu,

Mimi sio CCM ila Samia ananipa raha sana,

Tangu nimeanza kufuatilia maandishi ya huyu nimempenda Samia gafla,
Wewe Muumini wa data sasa ongea na mwenzio mje na data za bei ya mafuta, Umeme, vifurushi vya mitandao na tozo za mihamala nyie si ni watu wa takwimu.

Halafu mtuambie je upande huo na upande wa Pamba wapi Mwananchi anaguswa moja kwa moja na kuyumbisha mfumo wa maisha ya mtu wa hali ya chini.
 
Unafahamu bei ya msimu huu imeanza na shilingi ngapi au umedandia hapo mwisho msimu unaisha wanunuzi wanaipigania !!?? Unajua mfumo wa ununuzi na malipo kwa misimu yote uliyoitaja !!?? Umezisoma waraka simamizi za zao hili kutoka bodi ya pamba na kutoka tume ya ushirika!!?? .... Bei ya pamba imeanza na Tsh 1050/ ...... Kwa taarifa yako.

Mkuu salaam,

Kwanza bila papara plz soma andiko langu vizuri,

Nimesema kabla ya mama kuwepo au kabla ya mama kutia mkono bei ilikuwa iwe Tshs 1,050/kg

Nashukuru nimepata mtu sahihi wa kunisaidia kudadavua hili,

Naomba unijibu Maswali yangu yafuatayo :

1. Je ni kweli kwamba kwa miaka yako yote 12 bei ya pamba haijawahi kufikia 1,800 iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho wa Msimu,

Je ? Ni kweli kwamba Mama Samia amevunja rekodi ya bei ya Pamba toka Uhuru?

Je? Ni kweli kwamba wanunuzi ndio wanaowalalia wakulima na wala sio soko?

Je? Nikweli kwamba mnunuzi aliyenunua pamba 1050/kg mwanzoni ndio huyohuyo aliyenunua pamba kwa Tshs 1,800/kg mwishon?i unajifunza ni toka kwa mnunuzi huyo?

Alichokifanya Mama ni kuwabana wanunuzi na kuongeza idadi ya wanunuzi hadi kufikia 30.

Asante,
 
Wewe Muumini wa data sasa ongea na mwenzio mje na data za bei ya mafuta, Umeme, vifurushi vya mitandao na tozo za mihamala nyie si ni watu wa takwimu.

Halafu mtuambie je upande huo na upande wa Pamba wapi Mwananchi anaguswa moja kwa moja na kuyumbisha mfumo wa maisha ya mtu wa hali ya chini.

Mwananchi akiwa na pesa hawezi kulalamikia Tozo atalalamikia kuongeza kipato chao zaidi,
 
Mkuu salaam,

Kwanza bila papara plz soma andiko langu vizuri,

Nimesema kabla ya mama kuwepo au kabla ya mama kutia mkono bei ilikuwa iwe Tshs 1,050/kg

Nashukuru nimepata mtu sahihi wa kunisaidia kudadavua hili,

Naomba unijibu Maswali yangu yafuatayo :

1. Je ni kweli kwamba kwa miaka yako yote 12 bei ya pamba haijawahi kufikia 1,800 iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho wa Msimu,

Je ? Ni kweli kwamba Mama Samia amevunja rekodi ya bei ya Pamba toka Uhuru?

Je? Ni kweli kwamba wanunuzi ndio wanaowalalia wakulima na wala sio soko?

Je? Nikweli kwamba mnunuzi aliyenunua pamba 1050/kg mwanzoni ndio huyohuyo aliyenunua pamba kwa Tshs 1,800/kg mwishon?i unajifunza ni toka kwa mnunuzi huyo?

Alichokifanya Mama ni kuwabana wanunuzi na kuongeza idadi ya wanunuzi hadi kufikia 30.

Asante,
Maswali yako hapo juu ... Naweza sema yote ni tiki .... Wanunuzi wote wa pamba YAPO MAKAMPUNI ZAIDI YA 30 ... NIKWAMBIE 80% ni WANASIASA ... Na ndio wanaua zao hili .... Bei ya mwisho kuwa juu ilikuwa early 2000's ikifika 1400 (kwa mujibu wa vitabu/takwimu).
Kuna byproducts nyingi kwenye zao hili lakini mkulima analipwa PAMBA-MBEGU tu .....
 
Kumbe kweli pamba ni Tsh 1,800 kwa kilo,

Huyu mama anatisha hata Magufuli hakufanya hivi kuwaongeza ndg zake bei ya Pamba,

Hii nchi ngumu sana, kuna watu hata hili la bei ya Pamba kupaa wanachukia,

Mama ni namba Moja sijui ni nkekewa au mipango ni madhubuti tutajua mbele ya safari, .
 
Tuendelee kumwombea,Wakulima wa Pamba full Shangwe na Samia,

Nimesema wakati wote Samia atavunja rekodi zote zilizowekwa,

Mpaka 2030 tutashuhudia mengi,

Tuombe tu Uzima,
HATA MAGUFURI ALIPOINGIA ALISABABISHA KOROSHO KUPANDA HADI MBUZI ZIKANUNULIWA SODA LAKINI MWISHOWE TUKAISHIA SHIDA..
 
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA

Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa kuwa Tshs 1,050/kg FY2021/22,Kwalugha rahisi kama sio Mama Samia bei ya Pamba leo ingesalia kuwa ni Tshs 1,050/kg.

Ni dhahiri hapa Mama kapindua Meza,Kasi hii ya Rais Samia Watoto wa Mjini wanaiita "Utajua Hujui" kwa muda huu mfupi wa Mama Samia bei ya Mbaazi, Kawaha, Alizeti, Korosho,Chai zote ziko juu na malipo yote yanafanyika mkono kwa mkono tena by " Cash money" Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo,Yaani " Masikini anamkopesha Tajiri " ( this could only happen in Tanzania) huwezi kukuta utaratibu huu popote duniani ila sasa "Mama hataki dhuluma, tumwombee"

Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" Tangu Miaka ya 2000 Chama cha UDP cha Mzee John Cheyo na baadae Chadema kwa agenda ya "Bei ya Pamba" kwa kutumia slogani yao ya " NO CASH NO COTTON " yaani "HUNA HELA HUNA PAMBA" wamekuwa wakiihenyesha CCM katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " Mzee John Cheyo alifanikiwa kuitoa Pamba toka Tshs 300 hadi Tshs 800 baadae Rais Jakaya Mrisho Kikwete akaipaisha mpaka kufikia wastani wa Tshs 1,420 FY2005|06-2015|16.Baada ya hapo bei ya Pamba imekuwa ikishuka kutoka Tshs 1,420 ya JK, to1,000 then 1,100 kisha 810 FY2020/21,Hi ni sawa na kusema,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,

Wakati Mzee Jakaya anaondoka madarakani 2014|15 bei ya kuuza pamba nje ilikuwa Tshs 2,165/kg au US$ 1,038/Tani huku Mkulima akiuza kwa Tshs 1,420/kg,Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba walipata faida ya Tshs 735/kg ya Pamba walioinunua,Lakini FY 2017|18 bei ya kuuza Pamba nje ilifikia US$ 1,371/Tani au Tshs 3,099,629/tani sawa na Tshs 3,010/kg huku Mkulima huyuhuyu akiuza Pamba kwa Tshs 1,100/kg, yaani katika kila "Kilo moja" ya Pamba walanguzi|Wanunuzi walipata faida ya Tshs 2,000/kg ya Pamba watakayouza nje.

Hii ni sawa na kusema Mnunuzi|Mlanguzi wa pamba FY2014|15 alipata faida ya Tshs 735/Kg kwa kununua Pamba kwa Tshs 1,420/kg toka kwa mkulima,Na Mnunuzi huyo wa Pamba FY 2017|18 alipata faida ya Tshs 2,000/kg tena kwa Pamba aliyoichukua kwa mkopo kwa bei ya Tshs 1,100/kg baada ya kuiza nje kwa Tshs 3,010/kg.Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"

Uchaguzi 2025 Case closed.

" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"
 
Mungu tunajua Upo,Msimamie mama huyu kila maadui watafunane wenyewe
 
Ids zile zile, kwenye threads za aina ile ile na mapambio ya aina ile ile....ht muda wa mapambio unafananana, ukitoka thread moja a minute later upo thread nyingine kwa pambio lile lile km robot....[emoji23][emoji23]
you can fool some people for sometime bt not all the people all the time.
 
Back
Top Bottom