Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,


Sawa Mkuu, Mama hana makuu yake Dua kazi tu,

Ukifika leo Usukumani kila kona Shangwe la Samia,

Tangu uhuru pamba haijawahi fika Tshs 1720-1800 ,

Hapa lazima tuseme tu hataka kama wasiotaka wananchi wawe na nafuu ya maisha watachukia,

Mnyonge mnyongeni ila mazuri yake yasemeni,
 

Asante kwa kumfungua macho ndg yetu,

Bei ya pamba sio jambo la siri,

Huko kanda ya ziwa Story ni Bei ya Pamba,


Naamini mpaka 2030 hii nchi itakuwa Mbali sana kwa Msaada wa Mungu,
 



Pamoja mkuu
 
Sijajibiwa hii hoja .... Mtoa mada njoo nipe majibu ... Nipo kwenye hii tasnia ya pamba 12yrs ... Njoo tena ..nataka majibu ya hoja zangu juu kabla sijakutwanga na kitu kizito ambacho kutoamini ...NAOMBA MAJIBU
 
Na bei ikiporomoka pia mrudi hapa hapa. Kilimo cha mazao Tanzania sio pamba, alizeti wala mbaazi. Tazama mazao mengine ya kanda nyingi karibu zote: mahindi, mpunga, maharage, kahawa, vitunguu, maua, vanila, kunde bila kusahau [emoji534] nyanya.

I will be right here waiting for you.
 
 
Wewe Muumini wa data sasa ongea na mwenzio mje na data za bei ya mafuta, Umeme, vifurushi vya mitandao na tozo za mihamala nyie si ni watu wa takwimu.

Halafu mtuambie je upande huo na upande wa Pamba wapi Mwananchi anaguswa moja kwa moja na kuyumbisha mfumo wa maisha ya mtu wa hali ya chini.
 


Mkuu salaam,

Kwanza bila papara plz soma andiko langu vizuri,


Nimesema kabla ya mama kuwepo au kabla ya mama kutia mkono bei ilikuwa iwe Tshs 1,050/kg

Nashukuru nimepata mtu sahihi wa kunisaidia kudadavua hili,

Naomba unijibu Maswali yangu yafuatayo :

1. Je ni kweli kwamba kwa miaka yako yote 12 bei ya pamba haijawahi kufikia 1,800 iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho wa Msimu,

Je ? Ni kweli kwamba Mama Samia amevunja rekodi ya bei ya Pamba toka Uhuru?

Je? Ni kweli kwamba wanunuzi ndio wanaowalalia wakulima na wala sio soko?

Je? Nikweli kwamba mnunuzi aliyenunua pamba 1050/kg mwanzoni ndio huyohuyo aliyenunua pamba kwa Tshs 1,800/kg mwishon?i unajifunza ni toka kwa mnunuzi huyo?


Alichokifanya Mama ni kuwabana wanunuzi na kuongeza idadi ya wanunuzi hadi kufikia 30.


Asante,
 






Mwananchi akiwa na pesa hawezi kulalamikia Tozo atalalamikia kuongeza kipato chao zaidi,
 
Maswali yako hapo juu ... Naweza sema yote ni tiki .... Wanunuzi wote wa pamba YAPO MAKAMPUNI ZAIDI YA 30 ... NIKWAMBIE 80% ni WANASIASA ... Na ndio wanaua zao hili .... Bei ya mwisho kuwa juu ilikuwa early 2000's ikifika 1400 (kwa mujibu wa vitabu/takwimu).
Kuna byproducts nyingi kwenye zao hili lakini mkulima analipwa PAMBA-MBEGU tu .....
 
Kumbe kweli pamba ni Tsh 1,800 kwa kilo,

Huyu mama anatisha hata Magufuli hakufanya hivi kuwaongeza ndg zake bei ya Pamba,






Hii nchi ngumu sana, kuna watu hata hili la bei ya Pamba kupaa wanachukia,


Mama ni namba Moja sijui ni nkekewa au mipango ni madhubuti tutajua mbele ya safari, .
 
Tuendelee kumwombea,Wakulima wa Pamba full Shangwe na Samia,

Nimesema wakati wote Samia atavunja rekodi zote zilizowekwa,

Mpaka 2030 tutashuhudia mengi,

Tuombe tu Uzima,
HATA MAGUFURI ALIPOINGIA ALISABABISHA KOROSHO KUPANDA HADI MBUZI ZIKANUNULIWA SODA LAKINI MWISHOWE TUKAISHIA SHIDA..
 




" Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama deserves better Wazalendo wote tumtie moyo, mpaka mwaka 2030 tutashuhudia maajabu, Tuombe uzima Tu"
 
Mungu tunajua Upo,Msimamie mama huyu kila maadui watafunane wenyewe
 
Ids zile zile, kwenye threads za aina ile ile na mapambio ya aina ile ile....ht muda wa mapambio unafananana, ukitoka thread moja a minute later upo thread nyingine kwa pambio lile lile km robot....[emoji23][emoji23]
you can fool some people for sometime bt not all the people all the time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…