Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
mi nimesikia mbaazi zinauzwa 150,000 gunia zikiwa shambani.

Muda ni referee mzuri,
Let us wait and see,
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,
Na je unajua kua bei ya mafuta ya alizeti imepanda kwa karibu 130%?
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Mafanikio makubwa sana haya,

Hongera sana Rais Samia
 
Hiyo bei bado iko chini sana, inatakiwa kuwa 4,000 au zaidi, kilo moja ya pamba utoa mashati 3-4 kila shati tshs 25,000 au zaidi. Viwepo viwanda vya kutengeneza nguo
I hope unalinganisha na nchi zingine zinavyouza pamba yake.
 
Kazi iendelee, Mama wakulima wa Pamba wanajambo nawewe,
 
Huyu Mama kama mpaka pamba iliyomshinda Msukuma mwenzetu ameiweza basi hakuna wa kumtoa madarani,

Sisi alizeti imefikia elfu 12 toka buku 5,Mwanzoni mimi sikuwa namkubali ila kwa sasa nataka rasmi 2025 Samia anayo kura yangu,
Nimekuelewa
 
Rubbish, kusifia tu. Weka source of your information hapa.
 
#happy birthday Tanganyika
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…