Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

Kaziiendelee
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Mama anaupiga mwingi sana. Kasaidi kupanda bei ya pamba sambamba na kupanda kwa bei vifaa mbalimbali na kurejesha yaliyokuwa yamesahaulika mama ifuatavyo÷

1. Vifaa vya ujenzi
2. Mafuta ya kula
3. Vyakula
4. Mgao wa umeme
5. Generators kupata soko
6. CCM kuanza kuwapiga makofi polisi
7. Kikwete kuwa Raisi mwambata
8. Machinga na mama ntilie kupelekwa mbali na
wateja wao
9. Vifurushi bei juu
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Mimi binafsi hilo halinishangazi nilishaliona muda ilikuwa ni kumpa mama muda tu.Sasa hizo ni mvua za rasha bado vuli na masika .

LUMUMBA
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Unafanya Uchochezi tu hapa mkuu
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…