Bei ya Pasi original kampuni ya Philips

Kuna moja niliuza bei chee ikiwa used but in good condition maana nilitumia miaka km 4 hivi iligombewa balaa ndio nikajua thamani ya hio pasi niliinunua Mbeya 30 tu mpya kwenye boksi lake
ilikuwa mwaka gani mkuu kipind unanunua?
 
Hii ni pasi na nusu tunayo ya mwaka 1994...ipo inadunda...sasa hivi kuna copy na wafanyabiashara walivyowalaghi wanauza fake kwa bei ya original, wakikwambia ni original ili wapate faida kubwa.
 
Hii ni pasi na nusu tunayo ya mwaka 1994...ipo inadunda...sasa hivi kuna copy na wafanyabiashara walivyowalaghi wanauza fake kwa bei ya original, wakikwambia ni original ili wapate faida kubwa.
Nawezaje kutofautisha fake na original?
 
Sijui zaidi ya kukwambia tafuta muuzaji unaemfahamu kama hana akurefer sehemu zilizopo original
Zinakua na rangi kwenye ile sehemu ya kuongeza moto vimechorwa vimstari kwa rangi na Philips yenyewe neno limechorwa kwa rangi, rangi ya Gold yaan dhahabu

Sasa feki zinakua zimechorwa na rangi ya machungwa na rangi ya njano, akili kichwani mwako
 
30,000-35 bei fair.

Pia Philips ni mchina, waliuza jina kwa kampuni ya kichina watumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…