Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 62
- 52
- Thread starter
- #21
Dah nakubali mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichukua used kwa mtu 20K back in 2019 nahisi hii mpaka wajukuu wataitumia asee.Dukani OG ni 40 na boksi lake ikiwa zaidi ya hapo toka nduki, used ndio unaweza kupata 20 mpaka 30
Kuna moja niliuza bei chee ikiwa used but in good condition maana nilitumia miaka km 4 hivi iligombewa balaa ndio nikajua thamani ya hio pasi niliinunua Mbeya 30 tu mpya kwenye boksi lakeNilichukua used kwa mtu 20K back in 2019 nahisi hii mpaka wajukuu wataitumia asee.
Haha atari sanaNilichukua used kwa mtu 20K back in 2019 nahisi hii mpaka wajukuu wataitumia asee.
ilikuwa mwaka gani mkuu kipind unanunua?Kuna moja niliuza bei chee ikiwa used but in good condition maana nilitumia miaka km 4 hivi iligombewa balaa ndio nikajua thamani ya hio pasi niliinunua Mbeya 30 tu mpya kwenye boksi lake
2016-17ilikuwa mwaka gani mkuu kipind unanunua?
Anhaaa2016-17
Oya punguza ukuaji sijui unaongelea nini?Wakujibwea45 na Zerominus10 ni mtu mmoja.
Ogopa fakeHii ni pasi na nusu tunayo ya mwaka 1994...ipo inadunda...sasa hivi kuna copy na wafanyabiashara walivyowalaghi wanauza fake kwa bei ya original, wakikwambia ni original ili wapate faida kubwa.
Nawezaje kutofautisha fake na original?Hii ni pasi na nusu tunayo ya mwaka 1994...ipo inadunda...sasa hivi kuna copy na wafanyabiashara walivyowalaghi wanauza fake kwa bei ya original, wakikwambia ni original ili wapate faida kubwa.
Huyo najihusisha na YouTube na masuala ya Currency buy and sellNenda Jukwaa la Matangazo Madogomadogo mtafute member aitwaye Mwl.rct atakusaidia tatizo lako.
Unaweza kutofautisha rangi? Orange, Njano na Gold?Nawezaje kutofautisha fake na original?
Sijui zaidi ya kukwambia tafuta muuzaji unaemfahamu kama hana akurefer sehemu zilizopo originalNawezaje kutofautisha fake na original?
Zinakua na rangi kwenye ile sehemu ya kuongeza moto vimechorwa vimstari kwa rangi na Philips yenyewe neno limechorwa kwa rangi, rangi ya Gold yaan dhahabuSijui zaidi ya kukwambia tafuta muuzaji unaemfahamu kama hana akurefer sehemu zilizopo original
30,000-35 bei fair.Habari wana JF, nahitaji kujua bei nzuri an affordable ya Pasi kampuni ya PHILIPS. Nimejaribu kupitia uzi bei zina range 28k adi 40k ila nimepitia jiji Tz kule naona bei zake zina range 50k adi 65k sasa nashndwa kupata muafaka wa bei nisije nikaenda Dukani ni kapigwa. Kwa mtu anayejua chimbo la bei nzuri, pasi OG za PHILIPS Anisaidie.
Hapana si kweliWakujibwea45 na Zerominus10 ni mtu mmoja.
😂😂😂😂😂We unataka pasi yanini? Tuanzie hapo.