The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
songea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
songea
Tatizo la almas ngumu kupima kama ni yenyewe mpaka maabara tuuAhsante Sana kwa taarifa , almas niliziona huko Mbuyi Mayi RDC ,ila pia nilitahadharishwa sana juu ya almas kuwa feki zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la almas ngumu kupima kama ni yenyewe mpaka maabara tuu
umetusaidia wengiYapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .
NB Hapa naongelea yakiwa na high quality
Emerold Sahv sumbawanga naskia haitokiTatizo la almas ngumu kupima kama ni yenyewe mpaka maabara tuu
Nahtaji namba zako mkuu tufanye biashara namba ya MnunuziJiwe la grm 1 inaweza karibia mln 50
Ikiwa pureeee...... Chupa chupaaa
Ova
Yaan Vito sio kama mahindi .ubora tu ndo unaamua ipo ya gram 1 mil 30 na ipo gram 5 ambayo laki 5.sio kama mahindi.mfano ukipata mawe 3 zote gram 1.sokoni hazitauzika bei mojaRuby gram moja..... Wakuu naomba kujua bei vipi bado inacheza kwenye ngapi nowadays?
Oky nmekupata mkuu, kwahiyo that means ubora ndio utaamua na vipi unaweza kujuaje kwamba jiwe hili lina ubora ama la kawaida?Yaan Vito sio kama mahindi .ubora tu ndo unaamua ipo ya gram 1 mil 30 na ipo gram 5 ambayo laki 5.sio kama mahindi.mfano ukipata mawe 3 zote gram 1.sokoni hazitauzika bei moja
Ni elimu kama ilivo Dr akiona mgonjwaOky nmekupata mkuu, kwahiyo that means ubora ndio utaamua na vipi unaweza kujuaje kwamba jiwe hili lina ubora ama la kawaida?
Sawa vipi kuhusu soko, linapatikana maeneo gani kwa dsm mkuu?Ni elimu kama ilivo Dr akiona mgonjwa
Kwan unayo? Soko la Vito sio la kutafuta lipo wazi tu kwa haraka zinauzika arusha .kupata ruby og ni kazi zinazotembea hapa tz mikononi mwa watu 95% ni fake.Na kwa maswali yako ww ni mgeni kwenye biashara jichunge sanaSawa vipi kuhusu soko, linapatikana maeneo gani kwa dsm mkuu?