Bei ya Rubby kwa gram

Bei ya Rubby kwa gram

Yapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .
NB Hapa naongelea yakiwa na high quality
umetusaidia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada tafadhali,nina hivi vimawe naomba kujua ni aina gani ya madini na soko lake likoje
 
Rubi yenyewe ndio hii?
IMG-20220929-WA0002.jpg
 
Ruby gram moja..... Wakuu naomba kujua bei vipi bado inacheza kwenye ngapi nowadays?
 
Yaan Vito sio kama mahindi .ubora tu ndo unaamua ipo ya gram 1 mil 30 na ipo gram 5 ambayo laki 5.sio kama mahindi.mfano ukipata mawe 3 zote gram 1.sokoni hazitauzika bei moja
Oky nmekupata mkuu, kwahiyo that means ubora ndio utaamua na vipi unaweza kujuaje kwamba jiwe hili lina ubora ama la kawaida?
 
Back
Top Bottom