Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Kuna mtu ndiyo anayo ameniomba nimtafutie soko but tutaongea kwa kirefu Pm kakaKwan unayo? Soko la Vito sio la kutafuta lipo wazi tu kwa haraka zinauzika arusha .kupata ruby og ni kazi zinazotembea hapa tz mikononi mwa watu 95% ni fake.Na kwa maswali yako ww ni mgeni kwenye biashara jichunge sana