Bei ya Rubby kwa gram

Bei ya Rubby kwa gram

Kwan unayo? Soko la Vito sio la kutafuta lipo wazi tu kwa haraka zinauzika arusha .kupata ruby og ni kazi zinazotembea hapa tz mikononi mwa watu 95% ni fake.Na kwa maswali yako ww ni mgeni kwenye biashara jichunge sana
Kuna mtu ndiyo anayo ameniomba nimtafutie soko but tutaongea kwa kirefu Pm kaka
 
Yapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .
NB Hapa naongelea yakiwa na high quality
Natamani sana kununua haya madini ila huwa nasita sana kuingizwa mkenge na siwezi kuthubutu kuifanya
Kulizwa 30m kwa mkupuo ntahuzunika sana
Sasa kama huyajui unafanyaje?
 
Utapeli ni mwingi kwenye habari za Ruby kuwa makini!
Hili ndio tatizo
Tena sio ruby tu ni kila sehemu kuna utapeli hata kama ni mazao au chochote ila kuna mengine unaweza kuyaona mwenyewe ila sio madini
 
Natamani sana kununua haya madini ila huwa nasita sana kuingizwa mkenge na siwezi kuthubutu kuifanya
Kulizwa 30m kwa mkupuo ntahuzunika sana
Sasa kama huyajui unafanyaje?
Biashara ya madini pata potea kuwa masikini au tajiri ni rahisi.
Pana mtu alinunua gram 30 kwa mchimbaji akaenda uza billion 30.
Akarudi kuwashukuru waliomuuzia jiwe akawapa milion 300
 
Unayataka kwa biashara au kwa kuhifadhi hela au kwa kuvaa??
Mkuu ningepata kwa kuuza ili nipate faida
Ila sina lolote ninalolijua kuhusu biashara hii
Kuna jamaa amekuja na aina kama Tatu za madini ikiwamo diamonds pia
Anategemea kuziuza hapa 🇬🇧 ndio nikauona huu uzi
 
Biashara yoyote strictly ifanywe na anaeijua hata biashara ya ice creme ikiijua inalipa kuliko ya dhahabu.invest kwenye unachokijua .safari ya kuyajua madini inaweza chukua hata mwaka wa kujifunza kwa jasho na damu.ingekuwa anyone can do basi hakuna ambae angelima nyanya .huko kuna facility nzuri za kujifunza .tafuta ujifunze course hizi
1.introduction to gemology
2.gem identification
3.gem valuation

Unaweza zipata pia bure kwa kuzidownload na kusoma nondo Kisha chagua mawe gan unataka yafanyia isizidi aina 3 .nenda sasa practical kwa gemologist. Akifunze
1.practical gem sorting
2.caboshion making
Kisha huko huko nunua vifaa vya kupimia mawe
1.loupes
2.electrical hardness test
3.refractometer
Etc
Kisha uje mwenyewe bongo soko la madini arusha kila asubuhi wachimbaji wanaleta walichopata usiku ukikaa wiki na mpambe wako akuoneshe mawe ww nunua yy mpe bei ya kuwa npambe na kukuonesha mawe .usiwaamini wanashirikiana na wachimbaji akikuletea fake 1 mpige chini soko Zima wanaambiana jamaa anajua .Anza na kidogo njoo nunua ya dola 10000 kwanza uzoefu utaongezeka ukiendelea .
Hard way the only way
 
Mkuu nashukuru sana kwa uzoefu wako na kunipa facts za hii biashara
Asante sana sana na ninaifanyia kazi na kozi nachukua
Kwa haya machache kwako ila kwanngu ni elimu kubwa sana
 
Biashara ya madini pata potea kuwa masikini au tajiri ni rahisi.
Pana mtu alinunua gram 30 kwa mchimbaji akaenda uza billion 30.
Akarudi kuwashukuru waliomuuzia jiwe akawapa milion 300
Aisee hiyo ni bahati kubwa sana na inaonekana aliingiza kiasi kikubwa pia kwa bei aliyouzia
Ni biashara ngumu kama huijui
 
Biashara yoyote strictly ifanywe na anaeijua hata biashara ya ice creme ikiijua inalipa kuliko ya dhahabu.invest kwenye unachokijua .safari ya kuyajua madini inaweza chukua hata mwaka wa kujifunza kwa jasho na damu.ingekuwa anyone can do basi hakuna ambae angelima nyanya .huko kuna facility nzuri za kujifunza .tafuta ujifunze course hizi
1.introduction to gemology
2.gem identification
3.gem valuation

Unaweza zipata pia bure kwa kuzidownload na kusoma nondo Kisha chagua mawe gan unataka yafanyia isizidi aina 3 .nenda sasa practical kwa gemologist. Akifunze
1.practical gem sorting
2.caboshion making
Kisha huko huko nunua vifaa vya kupimia mawe
1.loupes
2.electrical hardness test
3.refractometer
Etc
Kisha uje mwenyewe bongo soko la madini arusha kila asubuhi wachimbaji wanaleta walichopata usiku ukikaa wiki na mpambe wako akuoneshe mawe ww nunua yy mpe bei ya kuwa npambe na kukuonesha mawe .usiwaamini wanashirikiana na wachimbaji akikuletea fake 1 mpige chini soko Zima wanaambiana jamaa anajua .Anza na kidogo njoo nunua ya dola 10000 kwanza uzoefu utaongezeka ukiendelea .
Hard way the only way
Asante sana Mkuu. Ngoja niende kwenye machimbo huko Morogoro, nikaielewe vizuri hiyo Rubby.
 
Back
Top Bottom