Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Karibu viwanda vyote vilikuwa vinafanya ukarabati
Azam is so smart. Dangote ni mtu hatari sana. Kote alikowekeza kasababisha matatizo.Ina maana tangu kiwanda kianze uzalishaji hii ndiyo mara ya kwanza wanasimamisha uzalishaji ili kufanya ukarabati. Ccm wanaona kila mtu ni zuzu. Sasa azam naye akisimamisha uzalishaji ili kufanya ukarabati si mikate na sembe vingepanda bei. Hawa watu ni bure kabisa