Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila kwa sehemu nilizo enda walikuwa wanafanya ukarabatiHAKUNA ukarabati uliokuwa unafanyika. Wamepunguza uzalishaji makusudi.
Walisema kipindi Cha uchaguzi kunaweza kukatokea machafuko ndo maana wamepunguza, lakini uchaguzi umeisha wao wanazidi kupunguza uzalishaji.
Wamuachie Dangote uone balaa lake.
Nadhani ni free market economy ndio anasababisha wamuuzie Rwanda cement ilihali hapa kwetu haitoshi, anaetoa dau kubwa ndie atakaepata kwanzaSio kweli nakataa. Kwanza waulizeni kuna haja gani ya kupeleka cement Rwanda wakati sisi wenyewe hatuna cement?
Wasimsingizie Dangote
Etii uulizwe?huu muda ulioutumia kuandika si ungesema hizo sababu zako.Acha urongo na epuka kuchuma dhambi kisa unatetea chama. Kiwanda Cha Dangote kimefungwa kwa sababu nyingine kabisaa. Tuulize tulioko hapa kiwandani tukupe taarifa.
Habari za TBCCM na vijigazeti uchwara usipende kuzichukulia Kama msaafu.
Sasa wewe uliopo kiwandani kama huleti taarifa kamili huoni kama wewe ndio mpumbavu?Acha urongo na epuka kuchuma dhambi kisa unatetea chama. Kiwanda Cha Dangote kimefungwa kwa sababu nyingine kabisaa. Tuulize tulioko hapa kiwandani tukupe taarifa.
Habari za TBCCM na vijigazeti uchwara usipende kuzichukulia Kama msaafu.
Sawa ila kwa sehemu nilizo enda walikuwa wanafanya ukarabati
Nadhani ni free market economy ndio anasababisha wamuuzie Rwanda cement ilihali hapa kwetu haitoshi, anaetoa dau kubwa ndie atakaepata kwanza
Ungeweka tu hizo sababu bila kurefusha maelezoAcha urongo na epuka kuchuma dhambi kisa unatetea chama. Kiwanda Cha Dangote kimefungwa kwa sababu nyingine kabisaa. Tuulize tulioko hapa kiwandani tukupe taarifa.
Habari za TBCCM na vijigazeti uchwara usipende kuzichukulia Kama msaafu.
labda Rwanda wananunua kwa bei nzuri.Bei NI Ile ile ya cement.
Labda Kama kuna gharama za usafiri kupeleka Rwanda.
Lakini haya NI Mambo ya ajabu Sana utapelekaje cement Rwanda wakati dar na pwani hawana cement?
Sio 6 ni zaidi ya 16 ninavyovijua , na sio chini ya 10 vipo kaziniSababu za kitoto kabisa. Ukiacha kiwanda cha Dangote, Hapa Tz kuna viwanda vya cement zaidi ya 6 hivi vyote inamana vilisimama uzalishaji?
Na wewe punguza mipasho, otherwise weka ukweli hapa ukuweke huru...Acha urongo na epuka kuchuma dhambi kisa unatetea chama. Kiwanda Cha Dangote kimefungwa kwa sababu nyingine kabisaa. Tuulize tulioko hapa kiwandani tukupe taarifa.
Habari za TBCCM na vijigazeti uchwara usipende kuzichukulia Kama msaafu.
Daah yaani kasababisha matatizo but he is still the richest in the continent??Azam is so smart. Dangote ni mtu hatari sana. Kote alikowekeza kasababisha matatizo.
Kwa hiyo Chadema wakipewa ndiyo wataboresha?Hii ni sababu ya kitoto.
Jana nimesikia mtu mmoja anasema eti sababu yya miradi ya maendeleo kutokusimama kipindi cha uchaguzi ndio maana simenti imepanda, hii ni sababu ya kitaahira pia.
CCM hata wakipewa miaka 700 hakuna kitu cha maana watatufanyia, ona wanachokifanya sasa, hakuna zaidi ya kuwafukarisha watanzania.
Halafu wanajiita serikali ya wanyonge [emoji23][emoji23].
Mara ngapi bro?Na wewe punguza mipasho, otherwise weka ukweli hapa ukuweke huru...