Unahitaji cement sana.Hahaha watanzania kiboko, hata wasioihitaji cement wanalalamikia kupanda kwa bei.
Mimi sihitaji cement na hitaji unga wa ugali, mchele na maharage.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji cement sana.Hahaha watanzania kiboko, hata wasioihitaji cement wanalalamikia kupanda kwa bei.
Mimi sihitaji cement na hitaji unga wa ugali, mchele na maharage.
Yaani kiwanda kimoja tu, kinaathiri bei nchi nzima? Wa Tz tujiongeze kidogo.Tuelezee ww uliepo kiwandani, what really happened
Siihitaji, nahitaji ugali na ubwabwa.Unahitaji cement sana.
labda rwanda wananunua kwa bei nzuri.
Nani mjinga ambae hajui sababu za kufungwa kiwanda?Ss watanzabia siyo wajonga kiasi hicho.we the reasons behind this.Hayo yanayoongelewa na huyo msemaji wa kiwanda ni upuuzi mtupu na Ni usaliti.Kiwanda cha Dangote kinachozalisha Saruji kilichopo mkoani Mtwara, kilisimamisha uzalishaji wa Saruji kwa takribani wiki mbili ili kufanya usafi na ukarabati wa kiwanda....
vipi kiwanda kimeshafunguliwaKiwanda cha Dangote kinachozalisha Saruji kilichopo mkoani Mtwara, kilisimamisha uzalishaji wa Saruji kwa takribani wiki mbili ili kufanya usafi na ukarabati wa kiwanda.
Imedaiwa kuwa hali hiyo ilifanya bei ya Saruji ipae kiasi cha wananchi kulalamikia bei hizo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa alitembelea Kiwandani hapo ili kujua kinachoendelea.
Mwanasheria wa kiwanda hicho, Clagu Chuma ameomba radhi kwa kutotoa taarifa kwa raia hali iliyopelekea bei kupanda kwa kasi kubwa.
Bei ya Saruji ilipanda hadi kufikia Tsh 35,000 kwa baadhi ya mikoa.
PIA SOMA: Wanyonge wenzangu: Bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?
Kama Ni hivyo ujue Kuna aliyeweka mazingira magumu kwa wawekezaji huko nyuma. Ni Nani huyo??Dangote karudi tena leo.Kasema Rais Samia kaweka mazingira mazuri ya uwekezaji
Nadhani ni shujaa wa afrikaKama Ni hivyo ujue Kuna aliyeweka mazingira magumu kwa wawekezaji huko nyuma. Ni Nani huyo??