DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Mchele umeshuka sana bei shida ya Sukari ni wazalishaji Mchele sasa hivi mapaka wa plastic unapata Wewe tu na Hela yako 2000 upo Mchele asili alafu upo wa GMO utachagua unataka upi wa asili au GMO, Sukari miwa sidhani km IPO ya Plastic au Wewe umewahi kukutana na miwa ya GMO? Ninaposema Plastic namaanisha GMO ukitaka kuthibitisha tafuta machungwa ya GMO yaan yale ya Mwendokasi machungwa ya siku 3 Wiki tayari nje rangi ya kuiva ndani bichi limejaajaa upepo tu plastic tupu maji halina sijui aliekuja na teknolojia hii ya kitapeli alifikiria niniNdugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
uongo mtakatifuSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Bashe amehusika katika kufumka kwa bei ya sukari na hatua anayochukua ni katika kujisafisha! Katika hilo hana utetezi;Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.
BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.
Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
Ndio maana wanazisi kutajirika sisi wanatuona Nyani tu.
Kima cha chini cha mshahara Kwa Jimbo la Arizona ni $10 Kwa saa States nyingi ni $13 Kwa saa hii ni kwa mwaka 2023.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Ana fedha za kufa mtu na ana uwezo wa kufadhili wizara yake!Kumbe yule msomali ana pesa eeh? 😳
Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.
BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.
Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,Dangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
Hapa nimekufuata MkuuLazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.
BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.
Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
NCHI imejaa kauzibe kila sehemuHata waporaji wa Dhahabu walipofika,
Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,
Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.
Roho mbaya!!
Unapenda vya bureSukari inanunuliwa kwa bei halali nchi jirani na inakuja kuuzwa nchini kwa bei ya chini kuliko bei halali ya nchi! Bado huoni bei yetu halali ni ya kifisadi? Kwa nini nchi zote zinazo tuzunguka tena nyingine ni landlocked bei yao iko chini? Huoni kuwa serikali yetu inahusika katika huu ufisadi kwa kuwaneemesha viongozi wachache na wafanyabiashara?
Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,
Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,
Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.
Roho mbaya!!
Umeleta mfano usio na mantiki hata kidogo.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Wanadai Eti Watz wakilipwa pesa nyingi watakuwa viburi walevi na watajaa dharau Kwa mabosi zao,Aiseeee ni kweli mkuu ,kampuni za kizungu zikija bongo zinaanza kwa kulipa vizuri sana ila wakishaanza kuingia ma HR wenye "NGOZI YA KOTA" wanapunguza mishahara hadi inakuja kuwa "MANARA" aka Laki 7.
Watu tuna roho mbaya sana ,hatutaki neema kwa mwenzako ,wanashindwa kujua mwenzako akifanikiwa ni rahisi kueneza chain ya mzunguko kwa wengine hivy okupunguza ukali wa maisha kwenye cycle.
Hizo porojo za kijinga.Hata waporaji wa Dhahabu walipofika,
Walitaka kulipa wazawa mishahara Kwa rate ya kimataifa, kwamba mfagiaji tu alipwe M 12 Kwa mwezi,
Wanasiasa wakasema HAPANA, msiwalipe Kwa kiwango hicho maana wafanyakazi serikalini wataacha KAZI na kukimbilia migodini.
Roho mbaya!!
Kadi ya KlinikiSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Dhambi yenu ujinga na uoga.Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Mkuu hapo umetudanganya. Bei ya soda USA inaanzia 75cents ambazo kibongo bongo ni kama 1920Tsh.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
hayo wadanganye wajinga wenzio, Bashe aliopigania mpaka akaagiza sukari wakati hao wazee wanadanganya meli hakuna?Bashe amehusika katika kufumka kwa bei ya sukari na hatua anayochukua ni katika kujisafisha! Katika hilo hana utetezi;