Unamtetea sababu ya udini uliokujaa tu. Bashe ni tapeli mkubwa sana, au ndugu zetu mnanunua kwa bei ingine nyie?Lazima iwe hivyo, kwa sababu anawapigania Watanzania bei ishuke.
BBashe anapigwa vita kuagiza sukari ya dharura tu, iliyoshusha bei ya sukari kutoka shilllingi elfu kumi mpaka kufikia elfu tatu. Bashe anapigwa vita kubadili sheria iliyokuwa inawalinda hao mafisadi.
Labda poyoyo tu asiyeziona jitihada za Bashe kupambana na hiyo "cartel".
wala hujakosea, Uislam hautetei unafiki na Uislam wa Hussein Bashe ndiyo unamfanya awe muadilifu na asiyeogopa.Unamtetea sababu ya udini uliokujaa tu. Bashe ni tapeli mkubwa sana, au ndugu zetu mnanunua kwa bei ingine nyie?
Kwahiyo kisa muisamu ndio anakuwa muadilifu? Ndio maana China wameshtuka wanamalizana naowala hujakosea, Uislam hautetei unafiki na Uislam wa Hussein Bashe ndiyo unamfanya awe muadilifu na asiyeogopa.
Au ulimaanisha nini kwa "udini"?
Ulifikiri Ame ni dini ipi? Wenye mtibwsa sugar ni dini ipi? Wenye Bagamoyo sugar ni dini ipi? Wenye Kagera sugar ni dini ipi?
Ukipata jibu, jiulize kwanini sijawatetea wote hao?
Ficha upumbavu wako.
Napenda kununua kihalali bila ufisadi wa serikali au wafanyabiashara!Unapenda vya bure
Sina hakika sana kama tatizo ni wenye viwanda vinginevyo kama una ushahidi na hilo unisaidie kuliweka hapa ila hisia zangu zinanituma kwamba serikali imewawekea makodi mengi hivyo ili watengeneze faida inabidi wauze bei hiyo tunayopigwa.hayo ndiyo anayoyapigania Bashe. Kishaiona "cartel" ya wale wazee waliokuwa wanajitetea kijinga juzi, Bashe kishaipatia muarubaini.
Ndani ya mwaka huu ni lazima watashusha bei iendane na uhalisia au wafunge viwanda tuagize sukari ya rahisi kama wanavyoagiza wenzetu, miwa ya wakulima wadogo wadogo tutaipatia soko lingine.
Hawa wenye viwanda hawana huruma kabisa na wananchi wao.
Wewe ni mke wa Bashe? Makampuni ya sukari yamemruka mchana wa saa sita halafu wewe unatoa pua yako mbele kumtetea! Unafaidi nini!hayo wadanganye wajinga wenzio, Bashe aliopigania mpaka akaagiza sukari wakati hao wazee wanadanganya meli hakuna?
Msiongee kwa mihemko yenu, ukweli upo wazi kama saa saba mchana.
Huwez kufananisha sukari na coca cola ni vitu viwili tofauti, mm ukiniambia mara ya mwisho nimekunywa soda lini sikumbuki ila sukar Kila siku naitumia siwez kuikwepa.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
hayo ndiyo anayoyapigania Bashe. Kishaiona "cartel" ya wale wazee waliokuwa wanajitetea kijinga juzi, Bashe kishaipatia muarubaini.
Ndani ya mwaka huu ni lazima watashusha bei iendane na uhalisia au wafunge viwanda tuagize sukari ya rahisi kama wanavyoagiza wenzetu, miwa ya wakulima wadogo wadogo tutaipatia soko lingine.
Hawa wenye viwanda hawana huruma kabisa na wananchi wao.
Ni kutokana na thamani ya pesa ya Marekani kuwa kubwa kuliko Tanzania kwa hiyo ni sahihi marekani bei kuwa juu.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Wenye kuunda huo umoja wao wa wazalishaji sukari.Nani aliyeitengeneza hiyo cartel? Nani anayeisambaratisha? Kila siku story zile zile. Anayetengeneza tatizo ndio anayetafuta solutions zake. Only in Tanzania.
Kitu ambacho tunasahau ni kuwa watanzania wanaongezeka. Wana njaa ya kuona wanaishi na kupata maisha bora. Haya mambo ya ujanja ujanja ambayo yanawanufaisha wachache, siku zake nazo sio nyingi.
Ingekuwa inapendeza, basi tuanze kuwa responsible. Nchi yetu haitajengwa kwa haya mambo ambayo yanakera na kama watu wamekuwa sugu, wanaona hawawezi kufanywa kitu, hata wakiharibu kiasi gani.
Kufanya cartel ni uhujumu uchumi. Lets hope kuna watakaowajibika. Otherwise, midomo ikae kimya yetu milele maana hatuna jipya.
Anacho kisema ni kweli mm sikumbuki hata ni lini nimenunua sukari tz naagiza kwa mwanangu wa maloli anakuja na kitu white spoon from zambia kwa bei cheee zikija 25kg nasahau mpaka mafuta ya kula mm naagiza toka huko kitu d'lite mafuta safii box zima nakula bata tu.Kipindi watu mnapigwa sukari sijui ef tano mm wala nawachora tu.Tafuteni urafiki na madereva wa malori yaan anakua anakuambia ebwana huku kitu huku bei chee nikuletee huko na hela niikute mfuko wa shati chap haraka😃😃Weka risiti za kuthibitisha
Dangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
Uongo upi ndugu au wewe unaandika ukiwa kintingu!?uongo mtakatifu
manzese kilo 50 tzs 118,000/= sijelewaUongo upi ndugu au wewe unaandika ukiwa kintingu!?
Hivi we jamaaa unadhani ni wewe tu unayefahamu bei ya sukari Zambia!? Mimi ni mkazi wa mkoa wa songwe tunatumia sukari ya Zambia na zaidi ya hayo maafisa wa tra wanafanya doria usiku na mchana kuhakikisha sukari ya Zambia haivuki kama ingekuwa na bei kubwa kuliko yetu nani angehangaika. Ukitaka kubisha rudia kufanya utafitiAcha upotoshaji. Hizo bei ulizoandika ni za uongo. Bei ya sukari Zambia ni kwacha 25. Zidisha mara 107 uone kama ni Tsh 2000? Jenga hoja yako bila kuingiza uongo.