Wanaunda umoja wakati mama anayeupiga mwingi amechapa usingizi!Wenye kuunda huo umoja wao wa wazalishaji sukari.
Wee mpumbavu Mimi nipo Rukwa tunanunua bei hiyo tena kwa magendo!Acha upotoshaji. Hizo bei ulizoandika ni za uongo. Bei ya sukari Zambia ni kwacha 25. Zidisha mara 107 uone kama ni Tsh 2000? Jenga hoja yako bila kuingiza uongo.
hayo ndiyo anayoyapigania Bashe. Kishaiona "cartel" ya wale wazee waliokuwa wanajitetea kijinga juzi, Bashe kishaipatia muarubaini.
Ndani ya mwaka huu ni lazima watashusha bei iendane na uhalisia au wafunge viwanda tuagize sukari ya rahisi kama wanavyoagiza wenzetu, miwa ya wakulima wadogo wadogo tutaipatia soko lingine.
Hawa wenye viwanda hawana huruma kabisa na wananchi
hayo ndiyo anayoyapigania Bashe. Kishaiona "cartel" ya wale wazee waliokuwa wanajitetea kijinga juzi, Bashe kishaipatia muarubaini.
Ndani ya mwaka huu ni lazima watashusha bei iendane na uhalisia au wafunge viwanda tuagize sukari ya rahisi kama wanavyoagiza wenzetu, miwa ya wakulima wadogo wadogo tutaipatia soko lingine.
Hawa wenye viwanda hawana huruma kabisa na wananchi wao.
Naona umeamua kutumia neno utafiti bila sababu. Mimi najua bei ya sukari ya Zambia bila kutaka uthibitisho wa mpumbavu kama wewe. Tena kwa sasa imepanda hadi K35 na zaidi.Hivi we jamaaa unadhani ni wewe tu unayefahamu bei ya sukari Zambia!? Mimi ni mkazi wa mkoa wa songwe tunatumia sukari ya Zambia na zaidi ya hayo maafisa wa tra wanafanya doria usiku na mchana kuhakikisha sukari ya Zambia haivuki kama ingekuwa na bei kubwa kuliko yetu nani angehangaika. Ukitaka kubisha rudia kufanya utafiti
Wewe Nguruwe pori unaongea kihisia kama mwanamke aliye kwenye siku zake. Nilichokiandika ndo uhalisia na sio hiyo mihemko yako ya kikahaba.Wee nguruwe 🐖 huwezi kuelewa! Unatumia exchange rate unafikiri ndiyo inayotumika katika local market! Acha kukariri, hizo rate ni za biashara ya fedha benki mbwa wewe!
Unanifananisha na mama yako! Una laana mbwa wee!Wewe Nguruwe pori unaongea kihisia kama mwanamke aliye kwenye siku zake. Nilichokiandika ndo uhalisia na sio hiyo mihemko yako ya kikahaba.
Tunachekesha sana. Ina maana kuna walio wababe kuliko sheria na taratibu?Wenye kuunda huo umoja wao wa wazalishaji sukari.
Hivi bado mna hangaika na sukarihayo ndiyo anayoyapigania Bashe. Kishaiona "cartel" ya wale wazee waliokuwa wanajitetea kijinga juzi, Bashe kishaipatia muarubaini.
Ndani ya mwaka huu ni lazima watashusha bei iendane na uhalisia au wafunge viwanda tuagize sukari ya rahisi kama wanavyoagiza wenzetu, miwa ya wakulima wadogo wadogo tutaipatia soko lingine.
Hawa wenye viwanda hawana huruma kabisa na wananchi wao.
Ma cartel haoo mzeeTunachekesha sana. Ina maana kuna walio wababe kuliko sheria na taratibu?
Kama yako zidisha mara million sitini, utapata kilo ngapi?Hivi bado mna hangaika na sukari
Dada yangu kipenzi
Mimi binafsi nna matumizi madogo sana ya sukari,kg1 naweza kaa nayo hata miezi 2
Ova
Namaanisha kuna wababe wanatumia mianya ya sheria na majukumu kujilimbikizia utajiri.Tunachekesha sana. Ina maana kuna walio wababe kuliko sheria na taratibu?
Hata ubora wa coca ya US sio sawa na coca ya TZPer capita income ya US inalingana na ya Tanzania?
Wana vyeo vikubwa kuliko RAIS?Namaanisha kuna wababe wanatumia mianya ya sheria na majukumu kujilimbikizia utajiri.
Wanatumia vyeo vyao kwa faida yao na si kwa faida ya umma.
Yani ukitaka kujua nchi za Afrika tuna laana ni hili swala la cement,kama Wananchi wetu wangekuwa wanajitambua tulitakiwa tupiganie hili swala.Dangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
Hiyo Zambia kwacha 25 = tshs 2728.75 je Tanzania sukari ni bei gani?? na hapo ukumbuke hiyo Sukari ya Zambia imepita katika bandari ya Tanzania.Acha upotoshaji. Hizo bei ulizoandika ni za uongo. Bei ya sukari Zambia ni kwacha 25. Zidisha mara 107 uone kama ni Tsh 2000? Jenga hoja yako bila kuingiza uongo.