Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei hiyo unapata mtaji wa kuuza Suti tena nzuri tu
 
We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
Sioni faida sana ya hiyo fasheni ya ufaransa na uturuki wanayoipaisha sana. basi yaishe mimi nataka suti ya nipishe nijambe kimtindo sizioni siku hizi, babu yangu alikua anadunda nazo sana
 
Sema watu hawajui tu na kama wanajua basi wanafanya kwa ajili ya kupata hadhi..ila Ngowi anauza suti kwa bei ghali sababu kashajenga jina kuvalisha mawaziri,wabunge na Rais Kikwete kwa kipindi kile lakini (Quality)ubora wa suti zake haujatofautiana na hizi za kariakoo
 
Aisee zinatofauti gani na hzo za laki 5
 
Suti ya mtumba shilingi elfu kumi tu, koti na suruali, tena unaweza kupewa na tai kabisa.
Mkuu wew kama sikosei ni mpare au mchaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa ubahili huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Seriously?!! Btw unauza suti kariakoo nini maanake naona comments zako ni kariakoo,mara mtaji wa suti...
 
Seriously?!! Btw unauza suti kariakoo nini maanake naona comments zako ni kariakoo,mara mtaji wa suti...
Kama huamini uliza anatumia vitambaa gani kushonea hizo suti? Njoo kariakoo upendeze usibabuliwe bei ya suti 10 ukauziwa suti moja wakati ubora ni uleule
 
Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Nakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…