Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Bei hiyo unapata mtaji wa kuuza Suti tena nzuri tuBei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.