Yeap mimi sio mvaaji wa suti kabisa. Ila msimamo wangu upo pale pale kununua mara kwa mara haku-justify kununua midosho. Ni msimamo binafsi tu.Basi wewe si Mvaaji wa Suti ila unavaa kwa shughuli maalum..ingekuwa kila mtu anajivunia kitu kukaa muda mrefu kwa kukiweka kwenye kabati lake leo hii wewe usingejua kitu kinaitwa "Mitumba" kwa hiyo anaenunua kila mwezi si mtu wa mchezo kuliko anayeweka nunua mwaka hadi mwaka
Nitakuja kuona suti zako.N
Njoo mtaa wa Mchikichi/Nyamwezi karibu na Msikiti mana duka sijaweka bango
Nashukuru kwa kumaliza mabishano kuwa kila mtu ana msimamo wake binafsi katika kununua kitu hivyo siyo mambo ya kuchekana na kumkashifu mwingine kuwa anavaa midosho sijui nini kama mwenzio alivyokuwa anasema.Yeap mimi sio mvaaji wa suti kabisa. Ila msimamo wangu upo pale pale kununua mara kwa mara haku-justify kununua midosho. Ni msimamo binafsi tu.
Niandalie suti moja ya grey mkuu...Nashukuru kwa kumaliza mabishano kuwa kila mtu ana msimamo wake binafsi katika kununua kitu hivyo siyo mambo ya kuchekana na kumkashifu mwingine kuwa anavaa midosho sijui nini kama mwenzio alivyokuwa anasema.
PoaNiandalie suti moja ya grey mkuu...
Ndugu ungenisoma tangu mwanzo ungenielewa.... nilisema kuliko kununua uchafu huo heri niagize europe tuuu....Kwahiyo mbwembwe zote kumbe unavaa suti ya 700$ sasa si bora ungenyamaza kuliko kujishushia hadhi mana watu wazima hatuna utoto kama wewe
Basi pongezi kwakoNdugu ungenisoma tangu mwanzo ungenielewa.... nilisema kuliko kununua uchafu huo heri niagize europe tuuu....
Halafu sijasema niko fixed kwenye hiyo $700 nimevaa suti mpaka za $3000
Uko sehemu gani Mkuu.Nashukuru kwa kumaliza mabishano kuwa kila mtu ana msimamo wake binafsi katika kununua kitu hivyo siyo mambo ya kuchekana na kumkashifu mwingine kuwa anavaa midosho sijui nini kama mwenzio alivyokuwa anasema.
zinatumia bluetooth au memorycard?1,000,000
ndio maana nashangaa!! yani 1m suti???Suti ya mtumba shilingi elfu kumi tu, koti na suruali, tena unaweza kupewa na tai kabisa.
mnaingia gharama zooote alafu mwisho wa siku wanaanza chepukaBei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.
Zina free WiFi haha by the way suti ya kushona haiwez kuwa sawa na ya dukan coz unashonewa unavotaka na customs madezinatumia bluetooth au memorycard?
[emoji23] [emoji23]Bei ya vitz hio unapewa na spare tyres 5 za nyongeza
Sehemu gan nikufuateNjoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Mtaa wa Mchikichi/NyamweziUko sehemu gani Mkuu.
Nije kuchukukua hizo suti za 90 kama mbili hivi.
Sitaki mbwembwe nyingi aisee kuvaa suti la 5m wakati bado umepanga.
Nataka suti nyeusi kali Mkuu.
Dah sikutegemea thread ingefika hapa na bado mtoa mada hajapata jibu!!!!