RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Yeap mimi sio mvaaji wa suti kabisa. Ila msimamo wangu upo pale pale kununua mara kwa mara haku-justify kununua midosho. Ni msimamo binafsi tu.Basi wewe si Mvaaji wa Suti ila unavaa kwa shughuli maalum..ingekuwa kila mtu anajivunia kitu kukaa muda mrefu kwa kukiweka kwenye kabati lake leo hii wewe usingejua kitu kinaitwa "Mitumba" kwa hiyo anaenunua kila mwezi si mtu wa mchezo kuliko anayeweka nunua mwaka hadi mwaka