Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei ya suti za Sheria Ngowi

Basi wewe si Mvaaji wa Suti ila unavaa kwa shughuli maalum..ingekuwa kila mtu anajivunia kitu kukaa muda mrefu kwa kukiweka kwenye kabati lake leo hii wewe usingejua kitu kinaitwa "Mitumba" kwa hiyo anaenunua kila mwezi si mtu wa mchezo kuliko anayeweka nunua mwaka hadi mwaka
Yeap mimi sio mvaaji wa suti kabisa. Ila msimamo wangu upo pale pale kununua mara kwa mara haku-justify kununua midosho. Ni msimamo binafsi tu.
 
Yeap mimi sio mvaaji wa suti kabisa. Ila msimamo wangu upo pale pale kununua mara kwa mara haku-justify kununua midosho. Ni msimamo binafsi tu.
Nashukuru kwa kumaliza mabishano kuwa kila mtu ana msimamo wake binafsi katika kununua kitu hivyo siyo mambo ya kuchekana na kumkashifu mwingine kuwa anavaa midosho sijui nini kama mwenzio alivyokuwa anasema.
 
Niandalie suti moja ya grey mkuu...
 
Kwahiyo mbwembwe zote kumbe unavaa suti ya 700$ sasa si bora ungenyamaza kuliko kujishushia hadhi mana watu wazima hatuna utoto kama wewe
Ndugu ungenisoma tangu mwanzo ungenielewa.... nilisema kuliko kununua uchafu huo heri niagize europe tuuu....

Halafu sijasema niko fixed kwenye hiyo $700 nimevaa suti mpaka za $3000
 
watanzania wakinunua vitu bei kubwa wanaona wamenunua kitu bora kumbe si ajabu ni kitu cha ajabu sana..

kwa mtu alietembea duniani na mjanja huwezi kumuuzia suti laki 6 iliyoshonwa mwenge...

maana hata hicho kitambaa kimetoka china tu na asia wakijitahidi uturuki..

wakati laki sita ukiweka kwenye usd.. unaagiza suti safi kabisa kutoka milan.. na inatumwa kwa ems au dhl parcel mpaka mlangoni...

fundi wa mwenge kuuza suti laki 3 tu ni wizi mkubwa....

biashara zimetajirisha watu wengi tanzania fasta fasta sababu ya kubamiza watu mabei ya ajabu
 
Nashukuru kwa kumaliza mabishano kuwa kila mtu ana msimamo wake binafsi katika kununua kitu hivyo siyo mambo ya kuchekana na kumkashifu mwingine kuwa anavaa midosho sijui nini kama mwenzio alivyokuwa anasema.
Uko sehemu gani Mkuu.

Nije kuchukukua hizo suti za 90 kama mbili hivi.

Sitaki mbwembwe nyingi aisee kuvaa suti la 5m wakati bado umepanga.

Nataka suti nyeusi kali Mkuu.
 
Bei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.
mnaingia gharama zooote alafu mwisho wa siku wanaanza chepuka
 
Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Sehemu gan nikufuate
 
Dah sikutegemea thread ingefika hapa na bado mtoa mada hajapata jibu!!!!
 
3451a18683c2b5b318cc03482d06f1e0.jpg
 
Back
Top Bottom