Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei ya suti za Sheria Ngowi

Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
 
Watu hawajui ila wanataka kujifanya wanajua,mtu anauliza swali watu wanazunguka mbaaali mwisho no jibu,mwenyewe cjui na nlitegemea kujua kupitia wajuz lkn mpaka sasa wanabeat around tu
 
Bei ya suti kariakoo ni shilingi elfu kumi tu full, suruali na koti na tai.
 
Njoo kariakoo utapata Suti nzuri kuanzia kwa 90,000 na kuendelea kama unachukua moja kama ni nyingi kuanzia 3 ni kuanzia 70,000 na kuendelea ni kali ukivaa hata kama ulikuwa na gundu la mavi utakuwa clean yaani better like never before
Mbona sioni tofauti yoyote kati ya hizo suti za special za bei ghali na hizi za kushona kwa mafundi wataalamu?
Naona hizo ni mbwembwe tuu hazina lolote tena ni rahis kuchanika na huvai miaka mingi
 
Bei za suti kwa Sheria Ngowi, anaanzia $1700 USD, ila kwa kibongo bongo unaruhusiwa kumshusha kidogo hadi 3,000,000 Tsh. Hapo ni kwa 1pc, hiyo ni bei ya mwezi wa 7 mwaka huu tuliweka order ya 2pc, kwaajili ya harusi amabayo tayari imeshafanyika mwishoni mwa mwezi August.
 
Mbona sioni tofauti yoyote kati ya hizo suti za special za bei ghali na hizi za kushona kwa mafundi wataalamu?
Naona hizo ni mbwembwe tuu hazina lolote tena ni rahis kuchanika na huvai miaka mingi
We shida yako Suti nzuri ya kukupendeza au ya kuvaa miaka mingi? Ukitaka za kuvaa miaka mingi shonesha Suti za ngozi ya mamba,ng'ombe,punda hizo zinadumu mana wenzio kina Mpoto wanashonesha hadi za magunia
 
Back
Top Bottom