Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Hahaha na alternatives kapewa.Jibu kashapewa huko zinaanzia $1700! Cif ya Verossa hio 🙂🙂🙂
Ngoja na mimi nimpigie debe mshkaji wangu Speshoz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha na alternatives kapewa.Jibu kashapewa huko zinaanzia $1700! Cif ya Verossa hio 🙂🙂🙂
Acha ubahili we toa hela tuzinatumia bluetooth au memorycard?
Hahahhhhmnaingia gharama zooote alafu mwisho wa siku wanaanza chepuka
kuwa na hela haimaanishi uchezee hela ma'amAcha ubahili we toa hela tu
Yuko wapi huyu? Bei zake? Ndio hizo zinalingana na ka Vitz kangu?Hahaha na alternatives kapewa.
Ngoja na mimi nimpigie debe mshkaji wangu Speshoz.
View attachment 407358View attachment 407360View attachment 407361
Itakuwa kiyoyozi .Hizo Suti Zina Nini??
Yuko wapi huyu? Bei zake? Ndio hizo zinalingana na ka Vitz kangu?
Ngoja nimcheki Mkuu.Yupo Mwenge (sina utaalamu sana wa directions) ila ukicheki Instagram page yake: Speshoz +255713911816 and +255719509813 utapata ufahamu zaidi.
And no sio wa milioni.
Utaipenda kazi yake maana yeye mwenyewe yupo hapo atakupokea na atakuonesha aina zote za vitambaa and you can talk kabisa unachotaka, aweke nini, atoe nini, etc etc...
Unashonewa na unakuja for fitting kabla ya kuja kuichukua nguo yako officially so that usijekuwa na malalamiko baadaye.
And the fact kwamba it's a Tanzanian business just adds to the reason why I go to him (yes, I can't afford the million tshs suits)..but he is really good!!!!
Try him...
Mkuu mbona unajiamini sana mpaka unanivuta nikutafute nipe beiHizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
Fabric, design, brand.Aisee zinatofauti gani na hzo za laki 5
Ama maisha ni kuchagua...khaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] bei Ya Gari kabisa Hii
Hiyo suti kwa kuitazama tuuu haiko.balanced!!Hahaha na alternatives kapewa.
Ngoja na mimi nimpigie debe mshkaji wangu Speshoz.
View attachment 407358View attachment 407360View attachment 407361
Hata huyo nae bado sanaaa hebu cheki hilo koti yaani haliko balanced kabisa!! Sijui shida nini!!Yuko wapi huyu? Bei zake? Ndio hizo zinalingana na ka Vitz kangu?
Na ww unavaa hizo za mill 4Fabric, design, brand.
Hata huyo nae bado sanaaa hebu cheki hilo koti yaani haliko balanced kabisa!! Sijui shida nini!!
View attachment 408459
Ahahahahah nimependa hiyo para ya mwisho!!Mkuu...hiyo suti nimefanya fitting personally! Labda useme camera quality na kwa vile nimeipiga ikiwa kitandani.
eniwei kama picha zangu hazijakushawishi nenda page yao ya instagram kama ukikuta haziko balanced pia nitakubali!!!
NB: nani amekuambia mwili wangu uko balanced..huenda ameshona kuendana na mwili wangu na imbalances zake, hahah!!
hupendagi ujinga kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suti ya mtumba shilingi elfu kumi tu, koti na suruali, tena unaweza kupewa na tai kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wenye maisha bora[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe unayesema life la mwenzio bado lipo kwenye kuhemea kula hapo juu unajisifu una kiatu hakijachania soli mwaka wa 7 sasa na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye maisha bora au bora maisha?
Unabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?